Wednesday, December 31, 2014

MASWALI YA KIMAPENZI
SWALI LA KWANZA.

Ningependa kujibu maswali mawili toka kwa wasomaji wa blog hii ambayo naamini majibu yake yatawanufaisha  wengi.NAOMBA usome kwa makini.
 Kutoka goroiftank@live.com Ni vyakula gn ambavyo mwanaume atakiwa kula pale anapotumia dawa yako ys kuongeza nguvu za kiume?au haina mipaka kwenye upande wa lishe kwa mwanamme?kwani naamini dawa bila lishe bora ni kazi bure kwani chakula na maji ni vitu pia vya kuzingatia katika mwili wa binadamu.sa nilitaka kujua je suara la chakula umelipa nafasi gani katika tiba zako.by musa julius toka arusha.(mozzegzzle@yahoo.com)



SWALI hilo limegusa eneo muhimu sana kwani ni kweli kabisha upo uhusiano wa lishe na kuwepo kwa nguvu za kiume.Wanasayansi wameliona hilo,kwa mfano,tikiti maji limegunduliwa hivi karibuni kuwa linamchango mkubwa katika kuleta nguvu za kiume na kama unafahamu KIINGEREZA tafuta google kwa kuandika WATERMELON  HELP ERECTION na utajionea mwenyewe ukweli wa umuhimu wa vyakula..

KWA watu ambao wameagizia toka kwangu dawa ya PRIKA inayoweza kumfanya mwanaume awe na nguvu za kiume na pia asiwe anawahi kumaliza katika kijarida cha maelekezo ya dawa hiyo muhimu nimeweka orodha kubwa ya vyakula  vinavyoheshimika kuwa na uwezo wa kuleta nguvu za kiume kwa  maisha yako yote na mimi mwenyewe japo nina umri wa miaka 52 nimeshuhudia hilo na ninapofanya sex siendi chini ya round 3(sawa na idadi ya kondom katika pakti moja).IWAPO WEWE UNAISHIA ROUNDI moja unapaswa ushtakiwe na watengeneza kondom na kifungo cha gerezani kina kufaa kwa maana unawasumbua wanawake NA UNAWACHAFUA TU.

  KWA mfano watu wengi hawajui kuwa bamia ni chemchem ya nguvu za kiume na kuona ni chakula cha kienyeji sana kumbe ni ujinga mtupu.AGIZIA DAWA YA PRIKA UNUFAIKE NA DOZI YA ASILI.Dawa ya PRIKA ni ya asili kabisa iko katika mtindo wa unga,ni ya kulamba kwani inafanya kazi vizuri sana inapokutana na mate.UNAWEZA kunywa maji baada ya kuitumia lakini ni muhimu uanze na kwa kulamba.


SWALI LA PILI.(SWALI HILI NILIPIGIWA SIMU)

DOCTOR.Kutokana na tatizo la nguvu za kliume nililazimika kutumia daya za VEGAS zinazouzwa katika maduka ya madawa.DAWA hiyo ilinisaidia na kuokoa  ndoa yangu lakini mar azote ninapoitumia lazima kichwa kiniume saaana na sasa baada ya miaka ya kutumia dawa hiyo mke wangu alipatya ajali na sikuweza kufanya nae sex kwa miez 8 kwani alikwenda kwao kuuguzwa.Kipindi hayupo mpenzi wangu alikuwa pombe na aliporudi japo nilitumia dawa ile ya vegas haikufanya kazi kabisa jambo ambalo limeleta mgogoro kati yetu.NIMEKUSIKIA redioni ukisema dawa hizo zina madhara sasa kwa mimi ambae nimeathirika hivyo utanisaidiaje?


JIBU:

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME linawakosesha raha wanaume wengi sana na kutokana na kazi yangu  huu ukiwa ni mwaka wa kumi toka nianze kazi hii  nimeshuhudia kuona vijana wengi na wazee wengi waliochoshwa na aibu ya kutokuwa mwanaume kamili.Kutokana na hilo nikiona mwanaume analingia uwezo wake mkubwa  wa kifedha huwa nakuwa na wasiwasi kuwa hana nguvu za kiume za kutosha kwani katika saikolojia imethibitishwa kuwa  watu wa aina hiyo huficha matataizo mengine kwa kujionyesha kuwa wana pesa nyingi na kununua magari ya kifahari.KWELI huwa nacheka sana,na mara nyingine nikimwona mrembo anajilingisha lingisha huwa namwonea huruma kwani najua asilimia kubwa hawafikisshwi kileleni na tafiti zaonyesha kuwa asilimia 72 ya wanawake hudanganya wanaume kuwa wamefika kileleni kumbe uongo mtupu.

Ni kweli kabisa kuwa madawa ya nguvu za kiume yauzwayo katika maduka ya madawa yana madhara kwani hulazimisha ubongo utoe amri moyo upeleke damu kwenye uume(ni sawa kutaka kuendesha gari wakati umefunga breki lazima gari liumie Na mafuta kwisha bure)Maumivu ya kichwa uliokuwa unapata baada ya kutumia dawa hizo ni matokeo ya kwenda kinyume na mfumo wa uzazi.

Unywaji wa pombe mara kwa mara na hasa kiasi kikubwa katika siku ni hatari kwa afya yako.Ukiondoa afya  yako kwa ujumla utapata shida kuwa na nguvu za kukamua utamu wa kutosha wakati wa sex.Pombe inavunja daraja kati ya ubongo na mwili wako na ndio maana walevi huyumbayumba wakaitembea kwa miguu.Pombe INAWEZA KUKULETEA HAMU YA TENDO LA NDOA lakini ukashindwa kusimamisha vizuri(Wapo wachache ambao wakinywa ndo kweli wanapata nguvu lakini huko mbele hali lazima itabadilika na kuwa mbaya)

Ili usimamishe uume ubongo huamuru moyo wako usukume damu kuelekea katuika mishipa iendayo kwenye uume wako na hivyo uume kusimama tayari kwa sex.Katika hali ya kawaida baada ya uume kujaa damu mishipa hujifunga kwa nyuma kuzuia damu isirudi ilikotoka na hivyo uume kusimama kwa muda mrefu.Unapokunywa pombe kiasi kikubwa(inategemea na afya ya moyo wako)mishipa hiyo inashindwa kujifunga na hivyo damu kurudi ilikotoka kwa urahisi na uume kusinyaa na kukosa nguvu kabisa.Matumizi ya pombe kwa muda mrefu huharibu mishipa hiyo na hilo ndio tatizo ulilopata baada ya kukaa bila sex miezi 8 na pombe ikawa ndio mpenzi wako wakati mkeo anauguzwa na wazazi wake.

ILI kurekebisha hali hiyo utahitaji kutumia PRIKA na vyakula ambavyo utaelekezwa katika jarida lililoambatana na dawa hiyo.NA utakapoanza kupata nafuu jitahidi usiwe na haraka ya kumwingilia mwanamke mara uonapo uume wako umesimama.AGIZIA jarida la maeneo 12 ya kuchezea katika mwili wa mwanamke ili upate ufundi sahihi wa kumchezea mwanamke na kurahisiha afike kileleni pale utakapomwingilia.Kujichelewesha kumwingilia mwanamke wakati uume wako umesimama kunaupa uume wako zoezi la kusimama kwa muda mrefu na pia itakusaidia usiwahi kumaliza.

Thursday, November 13, 2014

HATARI ZA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME ZENYE KEMIKALI

Tatizo la nguvu za kiume linalowaathiri mamilioni ya watu na pia kuathiri mahusiano ya kimapenzi .Katika kazi yangu katika Cliniki ya Afya ya Mapenzi asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume na leo nimeona nizungumzie hatari za kutumia madawa mengine yauzwayo katika maduka ya madawa mbalimbali.

Nimeamua kuandika habari hizi baada ya kaka mmoja aliesafiri toka Tabora na kuja kuniona baada ya kwenda katika hospitali ya moja ya rufaa  akiwa na tatizo la kuwahi kumaliza bila kupata msaada. Tatizo hilo limekuwa kero kwa mke wake na hivyo kutaka kuliondoa kwa gharama yeyote ile. Kaka huyo alienda kwa Daktari bingwa wa mambo ya  uume na uke na mambo ya viungo vya uzazi kwa kitaalamu  wanaitwa UROLOGISTS.

Baada ya kuelezea tatizo lake kwa Daktari huyo bingwa alipewa dawa ambazo ni kwa tatizo la nguvu za kiume na hazikumsaidia katika tatizo lake. Nilishangaa kusikia kuwa Daktari bingwa ameshindwa kumsaidia kaka huyo kwani tayari huyo kaka alikuwa anafahamu madhara ya dawa hizo na hivyo kwa kuwa alikuwa tayari amekwisha sikia katika vipindi vyangu vya redio vya USIKU WA MAHABA siku ya Jumatano katika redio FREE AFRIKA alinitafuta alikuja kwangu kama hatua ya mwisho katika mahangaiko yake.Nilifanikiwa kumsaidia na tatizo lake likawa ni historia.

Mwanzoni mwa kazi yangu 2006 nilikuwa nawapa watu dawa hizo zinazouzwa madukani na siku moja Mzee mmoja anaefanya kazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Mwanza alikuja na malalamiko yanayofanana kabisa na kaka huyo toka Tabora. Nilimweleza juu ya tiba mbili nilizonazo yaani dawa hizo za madukani zinazokupa nguvu ya masaa 4 na dawa yangu ya asili inayoweza kukuondolea tatizo hilo baada ya siku 5 hadi 7.  Baba huyo akachagua dawa hiyo ya haraka akaitumia siku hiyo hiyo ili kumziba mdomo mke wake.

Nilimuuzia dawa hizo baba huyo mwenye umri wa miaka 46 na alienda na kuzitumia hizo dawa. Kesho yake baba huyo alirudi ofisini kwangu na kuniambia kuwa kweli alifanikiwa kumfurahisha mke wake usiku uliopita lakini majira ya saa 9 usiku aliamshwa na maumivu makali ya kichwa na kuiona dunia yote kuwa ni rangi ya njano.
 Nisingependa upate matatizo yanayofanana na hayo na yafuatayo ni uthibitisho wa kisayansi wa madhara ya dawa hizo:-

Kuna tovuti 22 milioni zinazoshabikia madawa mbalimbali ya nguvu za kiume zenye kemikali za hatari kwako  kwa hiyo ni rahisi kushawishiwa na kutapeliwa. Shirika la  kudhibiti madawa na vyakula la huko Marekani limeorodhesha  majina ya madawa yenye madhara kwa mtumiajo na madawa hayo ni Zimayx, vigor – 25, True Man ,Shanghai Ultra, neophase, Nasutra Man up now, Liviro 3 , Libidus, Lady Shanghai, Hs joy of love, Energy Max, Blue steel, Actva Sx ,Activa Rx na Adam free.

Madawa hayo yote na mengineyo yasioorodheshwa hapo hufanya kazi kama ifuatavyo:-
Madawa hayo yana kemikali iitwayo PHOSIPHODIESTERASE 51 (PDE51) na kazi ya PDE51 ni kuzuia nguvu ya Enzyme iitwayo PHOSPHODIESTERASE 5 (PDE5)ambayo ndiyo inayozuia uume kusimama kama inavyotakiwa. Kemikali ya PDE51 inanyonywa ndani ya damu  na ndani ya saa moja mwanaume anakuwa na nguvu ya kumuwezesha kushiriki tendo la ndoa ndani ya masaa yasiozidi 4 kutokana na afya ya mtu mara  nyingi nguvu za dawa hiyo huweza kwenda hadi  masaa 7.

Ubaya wa madawa hayo  na mengine ni kwamba yana kemikali iitwayo GLYBURIDE yenye nguvu ya kuathiri mapigo ya moyo na kushusha presha ya damu ambayo ni hatari sana. Mwaka 2008 huko mjini Singapore watu 150 walilazwa hospitalini kutokana na kutumia madawa hayo.

Shirika la kuthibiti madawa la Marekani la FDA lilifanya upelelezi na kugundua kuwa madawa mengi ya nguvu za kiume yana kemikali ambazo ni za hatari.

Dalili za kuwa umeanza kuathirika na madawa hayo  UNAPOZITUMIA ni hizi zifuatazo:-

(1)        Maumivu ya misuli.
(2)        Kupata shida ya upumuaji.
(3)        Maumivu ya kichwa.
(4)        Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5)        Kupiga chafya ovyo ovyo.
(6)        Kuvurugika kwa tumbo mara baada ya kula chakula.
(7)        Mafua.
(8)        Kupata shida kupata usingizi.
(9)        Ngozi kuwa na joto lisilo la kawaida.
(10)     Maumivu ya masikio.
(11)     Kichefuchefu.
(12)     Ulimi kuwa mwekundu kuliko kawaida.
(13)     Kushindwa kumwaga mbegu hata ukifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
(14)     Kuona dunia imebadilika rangi.
(15)     Kuwa na hali ya wasiwasi bila ya sababu yeyote.
(16)     Maumivu kifuani.
(17)     Kutokuona sawa sawa.
(18)     Njaa ya kupita kiasi.
(19)     Kuongezeka kwa ukubwa wa mboni ya jicho.
(20)     Kutokwa jasho sana.
(21)     Maumivu ya mgongo.
(22)     Kutopendelea mwanga mkali.
(23)     Uchovu wa bila sababu.


Ndugu nimeandika hayo kufumbua macho uone kwa yapo madhara na ukitaka uhakika iwapo unafahamu kiingereza tafuta kwenye GOOGLE kwa kuandika ED drugs are harmful na utajionea mwenyewe ukweli huo.


Dawa ya PRIKA utakayoiona katika blog hii ni ya asilia kwani imetokana na mimea halisi na haifanyi kazi mpaka imetanguliwa na mazoezi maalumu utakayofanya ukiwa umekaa kwenye kiti. Uanzapo kutumia dawa hii ya PRIKA utaanza kuona mabadiliko baada ya siku 5 – 7 lakini utaitumia dawa hiyo kwa wiki mbili ili kulifuta tatizo la nguvu za kiume na la kuwahi kumaliza .Unapoagiza dawa hiyo utapewa kijarida kitakachokupa maelekezo ya kutumia dawa hiyo na pia maelekezo ya mambo ya kuepuka ili tatizo hilo lisikurudie tena maisha yako yote.

Sunday, November 2, 2014

Tamaa Tamu


TAMAA TAMU

Ni kweli tendo la ndoa ni tamu kivyakevyake na huwezi kulinganisha na kitu kingine chochote lakini tunapaswa kuangalia jinsi tamaa ya utamu huo ilivyo na jinsi ya kuitumia kujenga penzi linalotosheleza. Asilimia kubwa ya wanaume wanaonekana kama vile hawawezi kutosheka kuwa na mwanamke mmoja na pia wapo baadhi ya wanawake ambao nao wanaona kuwa hawawezi kutosheka na mwanaume mmoja.

Wataalamu wa sayansi ya mapenzi wamegundua kuwa kila mtu anahitaji mambo fulani ili aweze kujisikia kuwa ametosheka na tendo la ndoa na hali hiyo inaitwa kwa kiingereza FETISH. FETISH ni jambo ambalo unaliona kuwa bila ya kuwepo kwa jambo hilo huwezi kutosheka na tendo la ndoa na kwa bahati mbaya watu wengi hawajui kuwa wanao udhaifu wa aina hii,udhaifu wa ajabu sana.

Neno FETISH limetokana na lugha ya Kireno FETICO,neno hilo hutumika  ikimaanisha nguvu ya kichawi. Kila mmoja anao udhaifu wa aina hii japo hatufahamu jinsi nguvu yake inavyotuendesha katika mahusiano yetu ya kimapenzi. Hali ya mtu kupenda mwanamke mwenye hipsi na makalio ya aina fulani hiyo iko katika kundi la  fethish, mwanamke kupenda mwanaume mrefu mwenye misuli ,mwanaume mwenye sauti nzito na hiyo ni fetishi yake.Mwanamke anayependelea mwanaume mwenue kifua kilicojaanywele kwa mfano atapata shida kuridhika iwapo mumewe hana nywele hizo.Mfano huo unaweza kuupeleka kwa ukubwa wa uume pia.

Kuna aina nyingi za MAFETISHI na nyingine ni za ajabu sana lakini ambazo zimetawala kwa watu wengi ni hizi zifuatazo:-

(1)       VOYEURISM 
Hii ni tamaa inayojitokeza pale uonapo maumbile ya mwili wa mtu wa tofauti na jinsia yako. Tamaa hii inachochewa na nguvu na uvaaji wa nguo zinazobana au zinazoacha wazi maeneo fulani ya mwili.

(2)       PYGOPHILIA
Hii ni tamaa ya kutamani mtu mwenye makalio ya muundo fulani au kujikuta unapata msisimko mkali uonapo mtu mwenye makalio ya aina hiyo tamaa hii inawasumbua zaidi wanaume ambao wanataka wanawake wote wawe na makalio kama ya Jenifer Lopez (JLO).Utafiti uliofanyika na mashirika ya bima huko uingereza umeonyesha kuwa wanaume wengi husababisha ajali za magari hasa wakati wa kiangazi ambapo wanawake wengi huvaa nguo fupi na zenye kubana na kuonyesha uzuri wa makalio.

(3)       RETIFISM
Hii ni tamaa inayoamshwa pale uonapo mwanamke aliyevaa viatu virefu (mchuchumio).
(4)       TRICHOPHILIA
Hii ni tamaa ambayo hujitokeza kwa mtu akutanapo na mtu mwenye aina fulani ya nywele au wigi fulani la nywele. Hii inaweza kuwa hata nywele za kifuani.

(5)       DOMINATION AND SUBMISSION
Hii tamaa  imewabana watu wengi  na hawajui kuwa inawatawala na hivyo kushindwa kujua jinsi ya kukabiliana nayo ili kuongezea penzi kati yao. Mara nyingi wakati wa tendo la ndoa mwanaume huwa juu na mwanamke huwa chini na wengi huona kuwa ni hali ya kawaida kabisa lakini kwa kutokujua nguvu ya desturi hiyo wengi wamewazoesha wapenzi wao.Mindo huo utumikapo mara kwa mara unamfanya mwanaume ajione zaidi kuwa yeye ndiye mbabe na hahitaji ushauriau msaada toka kwa mkewe. Kwa mpenzi ambaye yeye anapata raha zaidi kwa kumfanyia mambo fulani fulani mpenzi wake ni muhimu apewe nafasi hiyo  ili ajione kuwa ni wa muhimu na mwenye nguvu. Hivyo basi iwapo mpenzi wako atakuwa mwenye haraka au asiependelea tendo la ndoa lichukue zaidi ya nusu saa huyo atakuwa anajiharibia uhusiano wake mwenyewe bila kujua. Watu wengi huchanganyikiwa hapa kwani kuna wengine ambao wanapenda kutoa starehe kwa wapenzi wao wakiwa wametulia  jambo ambalo humfanya mpenzi aboreke. Wengine hupendelea kubadilishana nafasi kwa kupokezana  mmoja amwandae mwenziwe na baadae na wao wanataka watulie na kumwachia mpenzi kazi ya kumletea utamu wa tendo la ndoa DOMINATION NA SUBMISSION kwa Kiswahili ni KUTAWALA  NA KUTAWALIWA (au kwa maneno mengine ni kama kukandamiza na kukandamizwa). Ni muhimu kwa wapendanao kutambua umuhimu wa mtindo huu kwani una nguvu kubwa sana ukitumiwa vizuri katika kipindi cha tendo la ndoa. Katika utafiti wangu juu ya kuongezea utamu wa tendo la ndoa nilifikia hatua ya kuanza kuangalia jinsi wasagaji, yaani wanawake wanaofanya mapenzi na wanawake wenzao na huko niliona nguvu ya mtindo huo. Baada ya kuangalia kwa muda fulani nilielewa kwanini mwanamke ambaye ameingia kwenye usagaji atapata shida kubwa kufurahia tendo la ndoa na mwanaume na wengi hufikia hatua ya kuwachukia wanaume.

Changamoto kwa wapendanao ni kwamba upo umuhimu wa kutumia mtindo huu wa KUTAWALA NA KUTAWALIWA katika kuboresha utamu wa tendo la ndoa na kuondosha hali ya mpenzi kuboreka na mpenzi wake wa muda mrefu. Ili uweze kufanikiwa katika hili ni muhimu upige vita woga na aibu. Nakutakia heri katika kutengeneza utamu zaidi wa tamaa ya tendo la ndoa.   

Thursday, October 23, 2014

UKWELI KUHUSU UKE


Ndugu zangu wanawake najua wengi wenu hamtafurahia habari hii lakini nimeona kuwa ni vyema niandike haya yote kwani asilimia 72% ya wanawake huwalaumu wanaume kwa kutowafikisha kileleni. Kwa mwanaume kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni ni aibu sana na inamletea maumivu ambayo hakuna mwanamke anayeweza kuyapima na ndio maana wanaume wengine wameamua kuwa mashoga (kufanya mapenzi na mwanaume mwingine) kama njia salama ya kukwepa aibu hiyo ya kutisha.

Nilitaka kusahau jambo lingine, kasi ya wanaume kutaka kufanya mapenzi na wanawake kinyume na maumbile  (kula TIGO kwa msemo wa mitaani) imeongezeka sana. Jambo hili limekuja ofisini kwangu mara kadhaa na nimewaonea huruma wanawake ambao waume zao wametamani waingie sehemu ya kutolea haja kubwa badala ya ile ilio halali yaani  uke.

Inashangaza lakini ni ukweli usiofichika hadi siku moja Askofu wa Kanisa la FULL GOSPEL Ndugu Zakaria Kakobe alitumia maada toka kwenye Biblia kukemea wanaume wanaotaka kukwepa uke mlegevu wa wake zao kwa kutaka kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile.Askofu Kakobe akitumia andiko toka kitabu cha kwanza cha WAKORINTHO sura ya 6 mstari wa 9 alikemea kwa uchungu sana baada ya kuona akina mama wengi wanamletea kesi za waume zao kutamani kuwaingilia kinyume na maumbile. Maneno hayo toka kwa Mungu aliyetuumba yanasema hivi
“Au hamjui kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike washerati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabuduo sanamu wala wazinzi, wala wafiraji na walawiti” (1 KOR 6:9).

Uke mlegevu unamfanya mwanaume asipate raha ya kutosha wakati wa tendo la ndoa na wale ambao wana wake ambao pamoja na kuwa na uke mlegevu hawajui jinsi ya kumpa mwanaume utamu zaidi kwa ufundi na utundu usiozidi aina 15 humsababishia mwanaume mahangaiko makubwa sana. Ni rahisi sana kwa wanawake kulaumu wanaume kwa kutotosheka na mwanamke mmoja lakini wanawake hawajui vitu vinavyomfanya mwanaume asitulie na mwanamke mmoja, na sio hilo tu bali pia wanawake hao hao hawahangaiki kutafuta jibu la mahangaiko hayo  ya mwanaume na kuishia kutoa laana kwa kusema “ wanaume wanatamaa sana hawabebeki”.



Biblia katika kitabu cha Kwanza cha mtume Petro inasema hivi
“Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana” (1 Pet 4:9). Ukosefu wa juhudi katika tendo la ndoa kumechangia sana kuoza na kufarakana kwa wapenzi wengi. Ukweli ni kwamba maumbile ya uke ya wanawake hayafanani.  Mwanamke ambae ana uke mlegevu asipofanya juhudi zinazoamriwa na Biblia atamfanya mume wake atafute tofauti iliopo mingoni mwa wanawake. Na iwapo kwa bahati mbaya katika kutafuta tofauti hiyo atakutana na wanawake wengine wawili wenye uke mlegevu lazima atajaribiwa kujaribisha kwenda kinyume na maumbile na hapo Askofu Kakobe lazima apige tarumbeta kama vile refarii katika mpira anavyopiga filimbi na kutoa kadi nyekundu kwa mchezaji aliefanya madhambi ya kwenda kinyume na sheria za mpira wa miguu.

Mwanaume mmoja ambaye alikuwa anakasirishwa sana anaposikia wanawake wakilaumu wanaume aliamua kufanya utafiti wake binafsi na kuona kuwa wanawake wenye uke unaobana kati ya umri wa miaka 18 – 25 na wakuzidi hapo anasema kuwa kumuingilia mwanamke mwenye umri zaidi ya 25 inafanana na kutumia kijiti kukoroga uji uliopo kwenye sufuria.

Mwanamke ambaye ana uke ambao unabana uume wa mpenzi wake anayosababu kubwa ya kujivunia kwani kwa mwanaume ambaye ameshakuwa na wapenzi zaidi ya wawili lazima moyoni mwake atakuwa anakulinganisha na wanawake wengine. Mwanaume hawezi kumsifia mwanamke aliye na utamu wa kutosha kitandani bila kuzingatia jinsi uke unavyombana wakati wa kuchikuchi za tendo la ndoa.

Kama vile wanawake wengi wanavyofurahia nguo zinazobana ndivyo wanaume wanavyofurahia uke unaobana. Hapo ndipo unapopata jibu kwa nini wanaume wengi hutamani kufanya mapenzi na wasichana wadogo, kwa kuwa kwa wasichana hao wanao uhakika wa kukutana na uke unaobana vizuri na kusababisha msuguano unaoleta mawimbi na cheche za raha yenye nguvu ya ajabu.

Ni vizuri ufahamu viko vitu ambavyo wanaume wanapendelea na viko vitu ambavyo hawapendelei ili uweze kudumisha penzi kati yako na mpenzi wako. Iwapo umeanza kuona kuwa mpenzi wako hapendelei kufanya mapenzi nawe mara nyingi kama ilivyokuwa mwanzoni tambua kuwa kuna vitu ambavyo hapendezwi navyo. Sababu ambazo zinawafanya wanaume wasizungumzie juu ya mapungufu ya mwanamke ni kwamba wanaamini kuwa unao uwezo wa kujiongeza na kurekebisha mambo bila ya kuambiwa na kipindi chote cha ukimya anakuwa na matarajio hayo.


Ifikapo kuwa ameona umepotezea jambo hilo lazima ataanza kufikiria juu ya kupata mpenzi mpya. Habari mpya kwa wanawake ,ipo dawa ya NATTY yenye uwezo wa kufanya mabadiliko ya ulegevu wa uke wako. Soma ukurasa wa UKE MLEGEVU upate habari kamili.

Thursday, October 9, 2014


ACHA UZEMBE SEX INALIPA

SEX NI DAWA YA KWELI


Tendo la ndoa husababisha kutibuka kwa kichocheo kiitwacho OXYTOCIN na kukifanya kiaanze kuzurura  kwenye mfumo wa damu. Katika pitapita zake OXYTOCIN   huondoa maumivu yaliyomo katika moyo na nafsi yako na hivyo kuboresha afya yako. Ugunduzi huo ulioripotiwa katika jarida la madaktari bingwa liitwalo THE BULLETIN OF EXPERIMENTIAL BIOLOGY AND MEDICINE. Madaktari hao wanasisitiza kuwa tendo la ndoa likifanyika kwa makamuzi yasiopungua nusu saa hufanya misuli ya mwili kuwa na nguvu na kusaidia katika kupunguza uzito kwa kuunguza mafuta yaliyojijenga mwilini.


Unapata ushahidi huo wewe mwenyewe ukikumbuka kuwa kasi ya upumuaji huongoezeka wakati wa Sex. Kwa watu wenye ugonjwa wa pumuSex ni dawa tamu kwao kwani husababisha uzalishaji wa dawa ya kuondoa makali ya ugonjwa wa pumu kwa kuzalisha mwilini dawa iitwayoANTIHISTAMINE. Sio hilo tu bali kula denda (kunyonyana ulimi) inapunguza kiwango cha tindikali mdomoni na kuongezea afya na usalama wa meno yako.

Wataalam hao wanasema iwapo utafanya tendo la ndoa polepole bila ya haraka yoyote na ukachukua muda usiopungua dakika 30 basi ngozi yako inakuwa nyororo na yenye afya nzuri sana kuliko kutumia vipodozi. Kwa watu wenye umri wa kupata makunyanzi ya uso na ngozi hii ndio dawa pekee ya kuondoa au kuzuia hali hiyo.



La kushangaza zaidi wataalam wengine wa Chuo Kikuu cha ROYAL ASTRALISIAN COLLEGE wanasema kuwa ukiona mpenzi wako hakuelewi na ukiona pia tendo la ndoa mnafanya mara chache na kwa mdua mfupi njia ya kubadilisha akili yake ili apate uwezo wa kufikiria vizuri na kukuelewa ni SEX. Sex au kwa jina linguine URODA hutibua kichocheo kingine kiitwacho DEHYDROEPIAN DROSTERONEambacho kikichanganyikana na kichocheo kilichotajwa hapo juu cha OXYTOCIN hufanya ubongo kuwa mwepesi kuelewa mambo na kumfanya mpenzi wako awe na huruma zaidi na atweza kutafuta njia za kufanya mabadiliko ili usiendelee kuumia.

Na kwa wanaume nao tambueni kuwa mko katika hatari ya kupata saratani ya Prostate (PROSTATE CANCER) na dawa pekee ni URODAmwingi. Mabingwa wa Sayansi ya mwili wako wa NATIONAL CANCER INSTITUTE wa huko Marekani wanapendekeza wanaume wafanye tendo la ndoa mara 5 kwa wiki la sivyo watajikuta wanachomekewa mipira yenye chupa kwenye tundu la uume ili wasifanye sex tena.

Utafiti mwingine wa kweli na wa kushangaza unathibitisha kwamba kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo na kufanya mapenzi bila ya kinga unakuletea faida za kiakili na kiafya pia. Viongozi wa utafiti huo Dr. Gordon Callup na Rebecca Burch wa Chuo Kikuu cha Newyork Marekani na Dr. Steven Platek wa Chuo Kikuu cha Liverpool huko Uingereza wanasema virutubisho vilivyomo katika Mbegu za kiume vina dawa za kubadilisha akili ya mtu (Mid-alterving drug)  virutubiho hivyo viitwavyo ESTRONE, CORTISOL, PROLACTION, THYROTROPIN na SEROTONIN vimethibitishwa kuwa na uwezo w kubadilisha  uwezo w kuelewa na kufanya maamuzi mbalimbali. Sisemi kuwa kutumia kinga ni kubaya bali Mwenyezi Mungu alietuumba alijua thamani ya tendo la ndoa na humo akaweka vitu vitakavyotusaidia. Kinga zimewekwa kwa  ujanja wa wanadamu na mara nyingi ujanja wa wanadamu katik mwili wa mwanadamu una madhara yake kama uonavyo kwa madawa ya kuzuia mimba unaoufahamu kama uzazi wa mpango..


Tafiti hiyo haikuishia hapo bali pia ilionekana pia kwa wanawake wanaojiuza n kufanya ukahaba na wale wazinzi wanaochepuka toka ndoa zao watumiapo kondom wanakuwa hawana tofauti kabisa na wale ambao hawafanyi tendo la ndoa kabisa. Yaani hawafaidiki sawa sawa na wale wanaofanya sex bila kutumia kinga.

Wasiliana nami kwa ushauri na msaada zaidi namba 0754039994.

Saturday, August 30, 2014

USHAURI
UKITAKA USHAURI TOKA KWA DR.NELSON UNALIPA SH 5000 kwa M-PESA, TIGO PESA au AIRTEL MONEY LAKINI NAMBA YA MAWASILIANO YA AWALI NI HII 0754 039994.natoa namba ya mtandao mmoja kuepuka kupigiwa kwenye namba nyingine kwa wakati mmoja.UNAFANYA HAYO MALIPO KWANZA NDIPO WEWE UNAPIGA KWA GHARAMA ZAKO NA UTAONGEA NA DR. NELSON KWA MUDA USIOZIDI SAA MOJA.KARIBUNI.IWAPO kuna mtu ambae humpendi na bado anaendelea kukusumbua au unataka kuvunja uhusiano lakini unaogopa mpe kazi hiyo DR.NELSON NA ATAIFANYA KWA GHARAMA YA SH 10,000.karibuni wote. IWAPO unataka ushauri ju ya maelewana na wazazi au wakwe au wakubwa wa kazini kwako pia DR. NELSON anao uwezo wa kukufanikishia hilo kwa gharama ya sh 10,000 tu.


UUME MKUBWA UNAOTISHA NI HATARI

Kwa kweli sisi wanaume tuna mtihani mkubwa sana inapofikia wakati wa tendo la ndoa na uhusiano kwa ujumla kwani changamoto tunazokutana nazo wanawake hawazielewi kabisa na kwa kuwa hawazielewi hawawezi kuziheshimu  na kusaidia katika kuleta mafanikio ya kimapenzi.

Sisi  wanaume tunalinganishwa katika maeneo mengi sana wakati wanawake hulinganishwa tu kwa sura na hipsi. Sisi wanaume tunalinganishwa uwezo wa kifedha, nguvu za kiume, uwezo wa kuchelewa kumaliza wakati wa tendo la ndoa, urefu wa uume na unene pia. Na wachache wetu wana uume uliopinda kama ndizi au kama bomba la kutolea maji jamani tunaomba wanawake mjitahidi kutuelewa.

Asilimia kubwa ya wanaume wana uume wenye urefu ambao uko chini ya kiwango yaani kati ya nchi 6 – 7. Na ukiwa chini ya kiwango hicho upo uwezekano wa mwanamke kukusaliti. Nikwambie rafiki, utafiti mpya kabisa uliofanyika nchi ya jirani ya Kenya umeonyesha kuwa ukiwa na uume zaidi ya nchi 71/2 upo uwezekano mkubwa wa mke wako kukusaliti.

Utafiti huo ulioongozwa na madaktari toka Marekani wakishirikiana na madaktari wa nchini Kenya ulifanyika miongoni mwa wavuvi wa samaki. Watafiti hao wamegundua kuwa wanawake wenye wanaume wenye uume mkubwa huhusianisha ukubwa wa uume na maumivu jambo ambalo huwazuia wasifurahie tendo la ndoa kikamilifu na hivyo kutafuta mchepuko.

Mwanamke asipofurahia tendo la ndoa hawezi kuamini kwamba yeye ndie mwenye kasoro na hivyo atatamani sana ajaribishe na wanaume wengine. Hali hii ya kufanya majaribio kwa wanaume wengine hutokana na ujumbe wanaopata kwenye ndoto wanapokuwa wamelala.Wanawake hao hushangaa kuona kwenye ndoto wanapoota kuwa wanafanya mapenzi hupata raha ya kufika kileleni kinyume wanapofanya mapenzi na waume zao. Kuwa na uume mdogo hutokana na ukosefu wa virutubisho muhimu kipindi cha utotoni ambapo ukuaji wa viungo mbalimbali vya mwili hufanyika.  Kuwa na uume mkubwa kupita kiasi hutokana na kuwepo virutubisho vingi kuliko inavyohitajika.Mara nyingi madini fulani yaliomo ardhini yanasababisha vyakula kuwa na nguvu ya kukuza uume kwa kiasi kikubwa.

Kuna baadhi ya maeneo hapa duniani   ambayo kutokana virutubisho vilivyomo ardhini vyakula vyake husababisha wanaume kuwa na uume mkubwa. Kwa mfano, Mbunge wa West Moyo huko Sudani Kusini Mr. Tom Aza aliwaambia waandishi wa NTV Uganda kuwa watu wa eneo lake wanahitaji Condom ambazo ni kubwa zaidi ya zile zilizopo madukani kwani wamejaliwa kuwa na uume mkubwa kuliko kawaida.

Mbunge mwingine huko Uganda Mr. Medard Butekyerezo nae ameshuhudia wanaume wakilalamikia udogo wa Condom zilizomo madukani na hivyo kuwaweka katika hatari yan kuambukizwa gonjwa hatari la UKIMWI. Kamati ya Bunge la Uganda inayohusika na Kampeni za HIV wamesema wameona ukweli wa hoja hizo na wameahidi kulifanyia kazi kikamilifu.

Wakati Waganda wanataka Condom kubwa zaidi utafiti uliofanywa 2006 nchini India unaonyesha kuwa wanaume wa huko wana uume mdogo kutokana na malalamiko kuwa Condom ambazo zimetengenezwa kwa viwango vya kimataifa ni vikubwa na hivyo kuomba watengenezewe Condom ndogo kuliko zile ambazo zipo sokoni. Shirika la utafiti la huko India liitwalo INDIANI COUNCIL OF MEDICAL RESEARCH limethibitisha kuwa ni kweli kabisa kuwa Condom zilizopo sokoni ni kubwa kwa nchi moja zaidi ya uume wa wahindi wa taifa hilo.Hili la wahindi nimelishuhudia mimi mwenyewe baada ya dada mmoja kuwa na mpenzi wa Kihindi na kuomba ushauri wa jinsi ya kuachana nae kutokana na udogo wa uume alionao mhindi huyo.Utafiti huo unaonyesha kuwa asilimia 60% ya wahindi wanahitaji Condom ndogo zaidi.
 Nchi zinazoongoza duniani kuwa na wanaume wengi wenye uume mkubwa ni Jamhuri ya Congo, urefu wa nchi 7 ¼ ikifuatiwa na ECUADO na Colombia. Hiyo ni rekodi ya dunia na bara la Ulaya (European Union) nchi inayoongoza ni Ufaransa ikifuatiwa na Sweden na Estonia.

Wako wanaume wachache wenye ukubwa wa uume usio wa kawaida kabisa na unaotisha. Dr. Robert Dockson wa Marekani anasema uume mkubwa kabisa wa kutisha ambao aliupima ulikuwa na urefu wa sm. 34.29 (nch 13.5),huo ni urefu unaozidi rula wanayotumia wanafunzi, na unene wa sm.15.8 (nchi 6.2) huu ni unene unaokaribia unene wa chupa ya soda ya mirinda au PEPSI. na mwanaume huyo mwenye uume huo anaitwa JONAH FALCON.Hivyo basi usishangae kuona picha za wanaume wenye uume unaotisha ukadhania ni uongo kwani ni kweli wapo wachache wenye uume huo na hata kwenye BIBLIA inaonekana hivyo katika kitabu cha nabii EZEKIEL.Kama vile mara nyingine umekutana na mtu mrefu sana kwa kimo mpaka wewe mwenyewe unashangaa basi ndivyo ulivyo  upande wa uume


KITABU KIPYA
UNAJUA SIRI YA KUFANYA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU?UNAJUA KULA DENDA IMETHIBITISWA KUWA HUONGEZA UTAMU WA SEX?Wataalaamu wa sayansi ya mapenzi kitengo cha mabusu( PHILEMATOLOGY) wanakupa elimu mpya kabisa.JE, UNAJUA KUWA DAWA ZA MENO UNAZOTUMIA NDIE MCHAWI ANAESABABISHA USIWE NA NGUVU ZA KIUME ZA KUTOSHA? Usibakie gizani rafiki kanunue leo kitabu kipya cha UFUNDI MPYA KATIKA KUPENDA ufaidike.ACHANA NA UDAKU 



DR. NELSON ametoa vitabu vipya ya aina TATU
1,JINSI YA KUMRIDHISHA MWANAMKE KITANDANI NA KUDUMISHA PENZI.Ndani yake utajifunza DALILI ZA MWANAMKE MTAMU,NJIA MPYA KABISA YA KUFANYA MAPENZI,MITINDO MUHIMU YA TENDO LA NDOA NA PICHA ZAKE,KUTAMBUA KAMA KWELI UNA UUME WENYE KIWANGO NA JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AJISIKIE KUWA NI MWANAMKE WA UKWELI.

MBINU ZA KUMTOSHELEZA MWANAUME NA KUDUMISHS PENZI,ndaniyake utajifunza mambo yote ambayo mwanamke anahitaji ili kumfanya mwanaume atosheke nae katika tendo ambalo wanaume wengi hulishabikia,pia mwanamke atajifunza mambo 10 yanayowachukiza wanaume hadi wakimbilie michepuko(ondoa msongmano kitandani.),,mwanamke atafahamu tofauti zilizopo za utamu wa mapenzi,,utaona jinsi wanaume wanavyolinganisha wanawake namitindo wanayopendelea wanaume wengi,




3.SIRI ZA KUPENDA NA KUPENDEKA,Katika kitabu hiki kizuri utafahamu sifa za penzi la kweli na njia muhimu za kutoa penzi hilo na kupokea penzi la uhakika kabisa.










MAWAKALA
NINGEPENDA Kuwa na mawakala na wasambazaji mikoa yote lakini uzoefu wangu unanitisha kiasi nishindwe kufanya hivyo WAKALA wa SONGEA,MAKAMBAKO,TANGA MJINI,,SINGIDA,SHINYANYANGA,TABORA,KIBONDO,MPANDA,MBOZI,TUKUYU, KYELA walishindwa kuwa waaminifu na kuniletea hasara kubwa .NINA MAWAKALA WACHACHE ambao tokea MWAKA 2007 WAMEKUWA WAAMINIFU NA unaweza kuwapigia simu na ukapata huduma inayojitosheleza kwani maelekezo ya dawa zote nimeyachapisha mimi mwenyewe. DAR ES SALAAM RAMADHANI yuko KARIAKOO MSIMBAZI namba yake 0787 331930, ARUSHA ustaadhi ISSA NAMBA YAKE 0755366822 IDARA YA MAJI ARUSHA MJINI,MOSHI STEND 0752 845656 AU 0715845656, MBEYA BONY 0784373656, MOROGORO 0713659670,DODOMA 0714677727 AU 0763537694 , KIGOMA  MRS MPENDA 0714500600 AU 0753570092 NA IRINGA  maeneo ya MIOMBONI MAJA STATIONARY MR EMMANUEL 0754899504, NJOMBE 0764569263 FARAJA


NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu.Tiba utakayoipata kwangu imetokana na utafiti wa miaka 7 na ukifuata maelekezo yake hutasumbuliwa tena na matatizo ya guvu za kiume na kuwahi kumaliza.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha za kuidumu na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inaaanza na zoezi la kushtua misuli na mishipa husika kasha ndio unatumia dawa hiyo kwa asubuhi na jioni. Dawa hiyo ya PRIKA inawezesha mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu kufanya kazi yake vizuri.


Inamaliza tatizo la kuwahi  kumaliza(kupizz) kwa kuwezesha msuli kujaaa damu na kuibana njia ya kutolea mbegu za kiume jambo ambalo husababisha kuchukua muda mrefu kabla ya mbegu kutoka.Itakusaidia kusimamisha uume haraka baada ya kufunga goli la kwanza kwa kufanya mishipa ya fahamu kusababisha  moyo usukume haraka damu ya kujaza uume mara akili yako itakapoonyesha kutaka kurudia tendo hilo.Tukichukulia mfano wa kisu utaweza kuelewa vizuri nguvu ya dawa hii.MISHIPA ya fahamu inayosababisha usimamishe haraka ni sawa na kisu kikali ambacho hukata nyama haraka.MISHIPA hiyo katika uume wako ikitibiwa na dawa ya PRIKA inakuwa na umakini mzuri a kusababisha uume uitikie haraka haja yako ya kurudia tendo.



KWA mwenye tatizo la kuishia roundi au goli moja mishipa yake ya fahamu imekuwa kama kisu butu, ukiwa na kisu butu itakuchukua muda mrefu kukata nyama kadhalika mwenye tatizo hilo atachukua muda mrefu  kuweza kusimamisha uume tena au ashindwe kabisa.. Tiba hiyo ni Tshs. 25,000 tu . Tiba hiyo itakuwezesha  KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.AGIZIA SASA
KWA kuwasiliana na BINGWA 0754 039994





KIINI CHA TATIZO  LA NGUVU ZA KIUME
Nguvu za kiume za kuaminika hutokana na ushirikiano wa ubongo, mfupa wa fahamu, misuli na mishipa ya damu.Kimoja kati ya hivyo kikisinzia kwa sababu moja au nyingine mwanaume ataaibika mbele za mwanamke aliemvulia chupi.Hatari ni kwamba kwa kuwa mwanamke hana jibu la uhakika anaweza kufikiria umekuwa shoga au una wanawake wengine pembeni.Ndugu katika ulimwengu wa sasa lazima utalinganishwa nguvu zako na ukubwa wa uume wako kabla ya ufundi wako kukaguliwa.SAYANSI inaonyesha kuwa uume wenye afya nzuri husimama mara 11 ndani ya kila masaa 24 na 9 kati ya hizo ni wakati wa usiku.FAHAMU njia za kutunza afya ya uume wako kwa kuagizia dawa ya PRIKA ambayo itakuja na maelekezo yake pamoja na bonasi ya njia za kisayansi za kuzuia tatizo hilo lisikurudie tena baada ya kuondolewa na PRIKA.WAHI SASA ni bidhaa mpya kabisa.