Thursday, April 24, 2014

TOFAUTI ZA UTAMU WA PENZI


TOFAUTI ZA UTAMU WA PENZI

Ni kweli kabisa kuwa penzi kati ya mwanaume na mwanamke hupitia mabadiliko mbalimbali kwani mtu hukutana na vitu mbalimbali na mawazo mbalimbali yanayoweza kumpa sababu ya yeye kubadilika. Katika ulimwengu wa sasa ambapo mtu akifikia umri wa miaka 25 tayari amekwishakuwa na wapenzi zaidi ya 3 ni vigumu kabisa mtu kushindwa kuanza kulinganisha utamu wa penzi alilopata huko nyuma kabla yako na lile unalompa sasa.Katika ulinganishaji huo lazima kuna vitu Fulani utakavyopungukiwa kama vile sura, rangi ya ngozi yako,urefu au ufupi kwa mwili wako, ukubwa wa uume au uke wako,uwezo wako wa kifedha,uongeaji wako,hasira zako ,utamu wako katika tendo la ndoa na vitu vinginevyo. Iwapo unaamini kuwa hilo ni jambo la kweli basi lazima uamini pia kuwa penzi lako litapimwa kwa kadri siku zinavyoenda.

Ndugu mpendwa napenda nikuambie kuwa pamoja na ukweli kuwa mpenzi wako ulienae sasa au yule utakayempata tayari ameshakuwa na wapenzi wasiopungua watatu basi inakupasa uamini kuwa sio atakuwa analinganisha utamu wa penzi lako na wapenzi waliotangulia bali pia atakuwa anaangalia kama wewe pia una dalili za kuweza kumuumiza kama alivyoumizwa na wapenzi waliotangulia.Hivyo ni muhimu sana katika mwenendo wako ujitahidi usisababishe maumivu katika moyo wa mpenzi wako.Jambo lolote lile linaloleta huzuni au kumkosesha raha mwenzio linaweza kuonekana kama tishio.

Katokana na hali halisi ya uanadamu tumeumbwa na tabia ya kujilinda na maumivu au kukwepa watu ambao ambao wanaweza kutuumiza ni muhimu uepuke mambo ambayo yanwaweza kuonekana kama tishio kwa mpenzi wako.Kutokan na umuhimu wa mtu kujilinda bila wewe kujua mwenzio atakuwa makini kuangalia maneno ,mwenendo na matendo yako kuangalia kama una mbegu yenye uwezo wa kuzaa maumivu yatakayoumiza moyo wake.
Kama vile utamu wa vyakula na matunda vilivyo na utofauti kadhalika ili uweze kumfurahisha na kutunza penzi lako ni muhimu uwe na uwezo wa kuleta utamu katika maeneo mbalimbali ya uhusiano wenu.Kwa maneno mengine ni muhimu utumie akili yako kujua maeneo yanayoleta utamu mwingi zaidi kwa mpenzi wako na kufanya kazi hiyo na bila kuacha maeneo mengine yaletayo utamu wa kiasi kidogo.

Ili uweze kufanikiwa katika hilo kwanza lazima utambue kuwa kila mmoja wetu anapendelea vitu tofauti tofauti kama vile kuna wengine hawawezi kula chakula bila pilipili kadhalika kuna watu wengine ambao hawawezi kuendeleza uhusiano unaokuwa na mapungufu fulani. Kwa mfano huo wa pilipili ningependa kusisitiza kuwa inakupasa uwe makini sana katika vitu ambavyo wewe unapendelea lakini mwenzio hapendelei kwani hapo ukishindwa kutimiza haja za mwenzio unaweka uhusiano wako hatarini.Pamoja na kusema hayo pia ni muhimu ukumbuke kuwa upo uwezekano wa kutokea mabadiliko katika vitu ambavyo unapendelea au mwenzio anapendelea.Usipokuwa makini utashindwa kwenda sambamba na madiliko yanayotoke na baadae ukaanza kuona penzi linapungua siku hadi siku na unapomuuliza mpenzi wako utashangaa kuona anakuwa mkali.Kwanini anakuwa mkali? Anakuwa mkali kwani anauona uzembe wako katika kufuatilia mabadiliko ya utamu wa penzi lenu na kwa kuwa hukuwa makini anaona kama vile ulikuwa humjali kwa makusudi kabisa kumbe sivyo.Jambo hili nimeliona katika mahusiano yangu mimi mwenyewe.KWkuwa nimekuwa muwazi sana wapenzi wangu wengi  wamekuwa hawajazoea hali hiyo na kushidwa kunifurahisha katika maeneo kadha na badala ya wapenzi hao kuona ni nafasi ya wao kujifunza mambo mapya wakaniona kuwa ni wa ajabu na mkali jambo ambalo sio la kweli.
    Nakumbuka kuwa na uhusiano na dada mmoja mwenye umri wa miaka 24 na dada huyo aliniambia wazi kuwa hajawahi kuachwa na mwanaume yeyote yule kati ya wanaume sita walionitangulia(wakati naazisha ushusiano nae alikuwa hajvunja na kuzika uhusiano aliokuwa na handsome Fulani).Siku moja dada huyo  baada ya kufanya kosa fulani  na kuadhibiwa aliniuliza anifanyie nini ili  nijue ananipenda na mimi nikamwambia ninachohitaji sana ili nijione ananipenda ni heshima.KWA wengi hilo linaonekana jambo rahisi sana lakini ukiliangalia undani wake ni refu na pan asana.Kwa kweli dada huyo alijitahidi sana kuonyesha mapenzi kwangu kwani alidiriki kutoroka kwao na kumhonga mlinzi ili aje kuwa name hadi alfajiri na kwa hilo tu nilimpenda sana.Pamoja na juhidi zake nyingi sana alishindwa kuwa mkweli na muwazi jambo ambalo lilipelekea mimi kuamua kumuacha kwani tayari huko nyuma nilikuwa nimeumizwa vibaya sana na mtu wa aina hiyo.La kushangaza dada huyo alikataa kwa kusema hataki kuachwa na mara kadhaa alikuja nyumbani kwangu na nilipokuwa sipokei simu zake wakati ananisubiri nyumbani alianza kulia hadi majirani wakaingilia kati.NI kweli unaweza kumpenda sana mpenzi wako lakini usipokuwa makini unaweza kuharibu uhusiano huo  wewe mwenyewe.

Umuhimu wa kujali tofauti za utamu unaongezeka zaidi kutokana na mambo mengi tofauti tunayokutana nayo katika mitandao na tamthilia .Katika maeneo hayo niliyotaja upo uwezekano wa mtu kujiona sio mzuri wa kutosha au hana uwezo wa kipesa wa kutosha au hapendwi kikamilifu. Hisia zinazojitokeza wakati wa kuangalia tamthilia au kuona mambo fulani  kwenye mtandao zina nguvu za kumbadilisha mtu na tabia zake au mwenendo wake.

Changamoto kwako ni kwamba jitahidi kuleta utamu wa kutosha katika maeneo mengi zaidi ya uhusiano wako ili umpe sababu za kufurahia kuwa nawe kama mpenzi.

Tahadhari kwako, uonapo mpenzi wako hataki kufanya mabadiliko mazuri unayomweleza kuwa ni muhimu kwako jua kuwa hana penzi la kweli kwako. Pamoja na hilo pale kuwa mpenzi wako anatamani mambo yanayohitaji uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uwezo wenu na hajali uboreshaji wa penzi bila kuhusisha pesa basi tambua kuwa mwenzio ni mpenzi wa fedha na sio mpenzi wako.

Nimuhimu katika uhusiano wa kimapenzi kuwepo kwa mfumo unaoleta utamu tofauti tofauti. Hali ya kupata vitu au mambo tofauti huleta uchangamfu na mshikamano ambao husaidia katika kukuza penzi kati ya watu wawili wanaopendana.

Friday, April 11, 2014


KUONGEZA UREFU NA UNENE WA UUME

Jarida hili ni la kukuwezesha ufanye uume wako kuongezeka urefu na unene pia.  Maelezo na maarifa yaliyomo katika jarida hili yamethibitishwa kisayansi na huleta matokeo mazuri. Njia hii ya kufanya ongezeko la uume liligunduliwa karibu miaka 5000 iliyopita baada vijana wa kiarabu wa huko Sudani walipojisikia vibaya juu ya upungufu wa urefu na unene wa uume wao, wazee wa kiarabu wa Sudani waliwafundisha vijana wao waliobarehe jinsi ya kutumia njia hii na vijana hao walifanikiwa kuongeza urefu na unene pia.Waarabu walifanikiwa kuwasaidia wanaume.

Wanasayansi baada ya kugundua taratibu hizo za kale toka kwa Waarabu wa Sudani udadisi wao haukuishia hapo. Waliendelea kuchunguza kuangalia kama katika historia ya mwanadamu kuna jambo lolote ambalo linaonyesha kuwa uume mkubwa ni kitu ambacho ni muhimu kwa mwanaume kuwa nao. Kwa muda mrefu walichunguza maandiko ya kale na wakaja kushangaa kuwa hata Mungu aliyemuumba mwanadamu nae anafahamu haja ya mwanamke kukutana na mwanaume mwenye uume mkubwa.  Katika Biblia ndani ya Kitabu cha Nabii Ezekiel sura ya 23 mstari 19 hadi 20. “Lakini aliongeza uzinzi wake, alipofanya mambo ya kikahaba katika nchi ya Misri. Akawapendelea wapenzi ambao nyama ya mwili wao ni kama nyama ya mwili wa punda, nacho kiwatokacho ni kama kiwatokacho farasi. Ndivyo ulivyokumbuka uasherati wa ujana wako, yalipobanwa matiti yako na Wamisri.” Na Ezekiel 16 mstari wa 26 “Tena umezini na Wamisri, jirani zako, wakuu wa mwili, ukaongeza mambo ya kikahaba.”


JE INAWEZEKANA KWELI KUONGEZA UKUBWA WA UUME?
Jibu la swali hili linatolewa na sayansi yenyewe. Katika majaribio ya kisayansi mamia ya watu hufanyiwa majaribio kuangalia kuwa nadharia iliopo inaweza kuleta matokeo mazuri bila madhara kwa afya ya mwanadamu. Ni muhimu majaribio hayo yathibitishwe ili madaktari wasijeshtakiwa mahakamani kwa kutoa tiba iletayo madhara kwa watumiaji. Katika uongezaji wa uume, wanaume mia moja (100) walipimwa urefu na unene wa uume wao, kabla ya kuanza zoezi la uongezaji. Baada ya kuanza hupimwa tena baada ya wiki mbili na hupimwa mara kadhaa kadri siku zinavyoendelea. Baada ya muda wa majaribio kwisha, wanasayansi wanaelezea zoezi hilo na matokeo yake katika maandishi, taarifa hizo za majaribio zinapokelewa na kuandikwa kwenye majarida makubwa ya kisayansi. Wanasayansi wengine wa nchi mbalimbali husoma na kukubali au kukosoa matokeo hayo. Uhakika kuwa dawa ya RODVA haina madhara nimeupata baada ya ushahidi wa watu ninao wafahamu kutumia bila kudhurika na sio hilo tu bali mimi mwenyewe nimeitumia kuongezea unene wa uume wangu.

Zoezi hili lililomo mikononi mwako limethibitishwa kuwa lina uwezo wa kukuwezesha kuongeza uume. Baada ya wanasayansi kuona kuwa asilimia themanini na saba (87%) ya wanaume waliojaribiwa walipata ongezeko walilohitaji ilikubalika kuwa zoezi hili linafaa kwa wanaume wapendao kupata ongezeko la uume wao. Ni matumaini yangu kuwa ukifuata maelekezo yaliyomo humu nawe utafanikiwa kabisa. Iwapo inakuwa vigumu kupata maji unaweza kununua thermos (chupa ya chai) na kuhifadhi maji na kutumia wakati upendao cha msingi maji yenye uvuguvugu mkubwa. Kama hilo pia haliwezekani basi jitahidi uoge maji ya moto ndipo ufanye zoezi hilo.

Ongezeko la uume linaweza kuanza kuonekana baada ya siku 21 na ni wazo zuri kuweka kumbukumbu ya bidii yako katika zoezi hili, unaweza kupima urefu wa uume wako mara moja kila wiki.
DAWA  inauzwa  sh 45,000. KWA WATU waliopo nje ya MWANZA naweza kukutumia kwa basi na kukupa jina la basi na namba ya dereva lipia m pesa 0754 039994 itasoma mpesa PAUL MWAIPOPO, tumia namba hiyo kwa mawasiliano na ushauri pia

Wednesday, April 2, 2014

DAWA YA NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA

NGUVU ZA DUME


NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu.Tiba utakayoipata kwangu imetokana na utafiti wa miaka 7 na ukifuata maelekezo yake hutasumbuliwa tena na matatizo ya guvu za kiume na kuwahi kumaliza.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha za kuidumu na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inaaanza na zoezi la kushtua misuli na mishipa husika kasha ndio unatumia dawa hiyo kwa asubuhi na jioni. Dawa hiyo ya PRIKA inawezesha mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu kufanya kazi yake vizuri.


Inamaliza tatizo la kuwahi  kumaliza(kupizz) kwa kuwezesha msuli kujaaa damu na kuibana njia ya kutolea mbegu za kiume jambo ambalo husababisha kuchukua muda mrefu kabla ya mbegu kutoka.Itakusaidia kusimamisha uume haraka baada ya kufunga goli la kwanza kwa kufanya mishipa ya fahamu kusababisha  moyo usukume haraka damu ya kujaza uume mara akili yako itakapoonyesha kutaka kurudia tendo hilo.Tukichukulia mfano wa kisu utaweza kuelewa vizuri nguvu ya dawa hii.MISHIPA ya fahamu inayosababisha usimamishe haraka ni sawa na kisu kikali ambacho hukata nyama haraka.MISHIPA hiyo katika uume wako ikitibiwa na dawa ya PRIKA inakuwa na umakini mzuri a kusababisha uume uitikie haraka haja yako ya kurudia tendo.



KWA mwenye tatizo la kuishia roundi au goli moja mishipa yake ya fahamu imekuwa kama kisu butu, ukiwa na kisu butu itakuchukua muda mrefu kukata nyama kadhalika mwenye tatizo hilo atachukua muda mrefu  kuweza kusimamisha uume tena au ashindwe kabisa.. Tiba hiyo ni Tshs. 30,000 tu.Tiba hiyo itakuwezesha  KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.AGIZIA SASA
KWA kuwasiliana na BINGWA 0754 039994





KIINI CHA TATIZO  LA NGUVU ZA KIUME
Nguvu za kiume za kuaminika hutokana na ushirikiano wa ubongo, mfupa wa fahamu, misuli na mishipa ya damu.Kimoja kati ya hivyo kikisinzia kwa sababu moja au nyingine mwanaume ataaibika mbele za mwanamke aliemvulia chupi.Hatari ni kwamba kwa kuwa mwanamke hana jibu la uhakika anaweza kufikiria umekuwa shoga au una wanawake wengine pembeni.Ndugu katika ulimwengu wa sasa lazima utalinganishwa nguvu zako na ukubwa wa uume wako kabla ya ufundi wako kukaguliwa.SAYANSI inaonyesha kuwa uume wenye afya nzuri husimama mara 11 ndani ya kila masaa 24 na 9 kati ya hizo ni wakati wa usiku.FAHAMU njia za kutunza afya ya uume wako kwa kuagizia dawa ya PRIKA ambayo itakuja na maelekezo yake pamoja na bonasi ya njia za kisayansi za kuzuia tatizo hilo lisikurudie tena baada ya kuondolewa na PRIKA.WAHI SASA ni bidhaa mpya kabisa.


TIBA MPYA YA NGUVU ZA KIUME

Zaidi ya asilimia 70 ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume  na tatizo linguine linaloambatana na hilo  nalo ni tatizo la kuwahi kumwaga mbegu za kiume na kushindwa kusimamisha tena.Jambo hili ni la aibu sana hasa katika ulimwengu wa sasa ambapo mwanmke mmoja asiepungua miaka 20 tayari amekuwa amefanya mapenzi na zaidi ya wanaume 4 tofauti.Katika kazi yangu ya kushauri watu asilimia zaidi ya 85 ya wanaume wana matatizo hayo vijana kwa wakubwa.
    Kukuthibitishia hilo siku moja alikuja baba mmoja mwenye umri wa miaka 48 ambae mke wake ni mganga wa kienyeji.Baba huyo alifuata tiba kwangu baada ya kunisikia redioni kuwa tayari nimeweza kusaidia wengi pamoja na rafiki yake ambae ndiye aliyemwambia anisikilize.Baba huyo aliniambia kuwa alikuwa  anashangaa sana kuona vijana wanakuja kutibiwa na mke wake kwa tatizo la nguvu za kiume wakati mke wake ameshindwa kumtibu yeye ambae ni mume wake.Inachekesha lakini ni ukweli mtupu kuwa tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linasumbua roho za wanaume wengi sana..
       Tatizo la nguvu za kiume huonekana pale mwanaume anaposhindwa kusimamisha uume au kuendelea kusimamisha uume kwa muda wa kutosha kumridhisha mwanamke wakati wa tendo la ndoa.Hali hiyo hujitokeza pale mzunguuko na msukumo wa damu katika viungo vya uzazi unapokuwa mdogo.Jambo lolote lile linaloathiri msunguuko wa damu maeneo hayo litasababisha  upungufu wa nguvu za kiume.Na sio hilo tu  bali hata tatizo la kuwahi kumwaga mbegu za uzazi hutokana na hali hiyo hiyo.Misuli inayohusika na kuzuia mbegu za uzazi zisitoke inapokosa damu ya kutosha huwa imesinyaa na presha ndogo tu ya mbegu za kiume hufanya misuli hiyo iruhusu zipite kwa urahisi.Misuli hiyo inapokuwa imejaa damu inabana kwa urahisi kama vile breki mpya za baiskeli zinavyobana na kumfanya mwanaume achelewe kumwaga mbegu hizo za uzazi.
    Sasa ipo tiba mpya kabisa ya kukuwezesha uwe na nguvu za kutosha na usiwahi kumwaga  mbegu hizo.Dawa ya PRIKA  ni dawa asilia yenye virutubisho ambavyo vinasababisha mzunguuko wa damu kuongezeke katika maeneo husika.Dawa hiyo ni ya unga wa kulamba na utalamba dawa hiyo baada ya kuishtua misuli hiyo kwa maelekezo utakayopata kwa kuwa maelekezo hayo yameambatanishwa na dawa hiyo.NDANI YA SIKU 4  utakuwa umepata nguvu za kutosha kabisa lakini utapaswa utumie dawa hiyo kwa wiki mbili ili upate nguvu za kudumu.
      Agizia leo kwa kuwasiliana na DR.NELSON 0754 039994  BEI NI SH 25,000 tu .Tuma kwa m-pesa au TIGO PESA AU AIRTELMONEY. NA  kwa watu wa nchi ZA NJE NAMBA NI +255 754 039994  na bei ni US$ 16 na gharama za usafiri angalia tovuti za DHL au waone ofisini kwao hapo ulipo na waambie mzigo hauzidi gram100. Usihangae kwanini nasema kwwa watu wa nchiza nje kwani wapo wanaoelewa KISWAHILI  hata huko kwani tayari nimetuma kwa watu wa AFRIKA KUSINI , KENYA , Marekani na AUSTRALIA.
WATU WA NJE mnaweza kutuma pesa kwa WESTERN UNION,MONEYGRAM  au BENK. Ya BENKI NI BEI NAFUU ZAIDI
MAJINA  NA MAELEKEZO YANAFUATA HAPO CHINI

ACCOUNT holder.  PAUL NELSON  MWAIPOPO,
     ACCOUNT NUMBER     0152339155100
      Bank name  CRDB BANK PLC ,
        BRANCH CODE  NUMBER   4402
             SWIFT CODE CORUTZTZ
ANUANI ni
 DR. PAUL NELSON,P.O. BOX 756 MWANZA TANZANIA,
PHONE.+255754 039-994 ,
EMAIL.paulnelsonn@yahoo.co.uk