NGUVU ZA DUME

HATARI ZA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME ZENYE KEMIKALI

Tatizo la nguvu za kiume linalowaathiri mamilioni ya watu na pia kuathiri mahusiano ya kimapenzi .Katika kazi yangu katika Cliniki ya Afya ya Mapenzi asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume na leo nimeona nizungumzie hatari za kutumia madawa mengine yauzwayo katika maduka ya madawa mbalimbali.

Nimeamua kuandika habari hizi baada ya kaka mmoja aliesafiri toka Tabora na kuja kuniona baada ya kwenda katika hospitali ya moja ya rufaa  akiwa na tatizo la kuwahi kumaliza bila kupata msaada. Tatizo hilo limekuwa kero kwa mke wake na hivyo kutaka kuliondoa kwa gharama yeyote ile. Kaka huyo alienda kwa Daktari bingwa wa mambo ya  uume na uke na mambo ya viungo vya uzazi kwa kitaalamu  wanaitwa UROLOGISTS.

Baada ya kuelezea tatizo lake kwa Daktari huyo bingwa alipewa dawa ambazo ni kwa tatizo la nguvu za kiume na hazikumsaidia katika tatizo lake. Nilishangaa kusikia kuwa Daktari bingwa ameshindwa kumsaidia kaka huyo kwani tayari huyo kaka alikuwa anafahamu madhara ya dawa hizo na hivyo kwa kuwa alikuwa tayari amekwisha sikia katika vipindi vyangu vya redio vya USIKU WA MAHABA siku ya Jumatano katika redio FREE AFRIKA alinitafuta alikuja kwangu kama hatua ya mwisho katika mahangaiko yake.Nilifanikiwa kumsaidia na tatizo lake likawa ni historia.

Mwanzoni mwa kazi yangu 2006 nilikuwa nawapa watu dawa hizo zinazouzwa madukani na siku moja Mzee mmoja anaefanya kazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Mwanza alikuja na malalamiko yanayofanana kabisa na kaka huyo toka Tabora. Nilimweleza juu ya tiba mbili nilizonazo yaani dawa hizo za madukani zinazokupa nguvu ya masaa 4 na dawa yangu ya asili inayoweza kukuondolea tatizo hilo baada ya siku 5 hadi 7.  Baba huyo akachagua dawa hiyo ya haraka akaitumia siku hiyo hiyo ili kumziba mdomo mke wake.

Nilimuuzia dawa hizo baba huyo mwenye umri wa miaka 46 na alienda na kuzitumia hizo dawa. Kesho yake baba huyo alirudi ofisini kwangu na kuniambia kuwa kweli alifanikiwa kumfurahisha mke wake usiku uliopita lakini majira ya saa 9 usiku aliamshwa na maumivu makali ya kichwa na kuiona dunia yote kuwa ni rangi ya njano.
 Nisingependa upate matatizo yanayofanana na hayo na yafuatayo ni uthibitisho wa kisayansi wa madhara ya dawa hizo:-

Kuna tovuti 22 milioni zinazoshabikia madawa mbalimbali ya nguvu za kiume zenye kemikali za hatari kwako  kwa hiyo ni rahisi kushawishiwa na kutapeliwa. Shirika la  kudhibiti madawa na vyakula la huko Marekani limeorodhesha  majina ya madawa yenye madhara kwa mtumiajo na madawa hayo ni Zimayx, vigor – 25, True Man ,Shanghai Ultra, neophase, Nasutra Man up now, Liviro 3 , Libidus, Lady Shanghai, Hs joy of love, Energy Max, Blue steel, Actva Sx ,Activa Rx na Adam free.

Madawa hayo yote na mengineyo yasioorodheshwa hapo hufanya kazi kama ifuatavyo:-
Madawa hayo yana kemikali iitwayo PHOSIPHODIESTERASE 51 (PDE51) na kazi ya PDE51 ni kuzuia nguvu ya Enzyme iitwayo PHOSPHODIESTERASE 5 (PDE5)ambayo ndiyo inayozuia uume kusimama kama inavyotakiwa. Kemikali ya PDE51 inanyonywa ndani ya damu  na ndani ya saa moja mwanaume anakuwa na nguvu ya kumuwezesha kushiriki tendo la ndoa ndani ya masaa yasiozidi 4 kutokana na afya ya mtu mara  nyingi nguvu za dawa hiyo huweza kwenda hadi  masaa 7.

Ubaya wa madawa hayo  na mengine ni kwamba yana kemikali iitwayo GLYBURIDE yenye nguvu ya kuathiri mapigo ya moyo na kushusha presha ya damu ambayo ni hatari sana. Mwaka 2008 huko mjini Singapore watu 150 walilazwa hospitalini kutokana na kutumia madawa hayo.

Shirika la kuthibiti madawa la Marekani la FDA lilifanya upelelezi na kugundua kuwa madawa mengi ya nguvu za kiume yana kemikali ambazo ni za hatari.

Dalili za kuwa umeanza kuathirika na madawa hayo  UNAPOZITUMIA ni hizi zifuatazo:-

(1)        Maumivu ya misuli.
(2)        Kupata shida ya upumuaji.
(3)        Maumivu ya kichwa.
(4)        Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5)        Kupiga chafya ovyo ovyo.
(6)        Kuvurugika kwa tumbo mara baada ya kula chakula.
(7)        Mafua.
(8)        Kupata shida kupata usingizi.
(9)        Ngozi kuwa na joto lisilo la kawaida.
(10)     Maumivu ya masikio.
(11)     Kichefuchefu.
(12)     Ulimi kuwa mwekundu kuliko kawaida.
(13)     Kushindwa kumwaga mbegu hata ukifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
(14)     Kuona dunia imebadilika rangi.
(15)     Kuwa na hali ya wasiwasi bila ya sababu yeyote.
(16)     Maumivu kifuani.
(17)     Kutokuona sawa sawa.
(18)     Njaa ya kupita kiasi.
(19)     Kuongezeka kwa ukubwa wa mboni ya jicho.
(20)     Kutokwa jasho sana.
(21)     Maumivu ya mgongo.
(22)     Kutopendelea mwanga mkali.
(23)     Uchovu wa bila sababu.


Ndugu nimeandika hayo kufumbua macho uone kwa yapo madhara na ukitaka uhakika iwapo unafahamu kiingereza tafuta kwenye GOOGLE kwa kuandika ED drugs are harmful na utajionea mwenyewe ukweli huo.


Dawa ya PRIKA utakayoiona katika blog hii ni ya asilia kwani imetokana na mimea halisi na haifanyi kazi mpaka imetanguliwa na mazoezi maalumu utakayofanya ukiwa umekaa kwenye kiti. Uanzapo kutumia dawa hii ya PRIKA utaanza kuona mabadiliko baada ya siku 5 – 7 lakini utaitumia dawa hiyo kwa wiki mbili ili kulifuta tatizo la nguvu za kiume na la kuwahi kumaliza .Unapoagiza dawa hiyo utapewa kijarida kitakachokupa maelekezo ya kutumia dawa hiyo na pia maelekezo ya mambo ya kuepuka ili tatizo hilo lisikurudie tena maisha yako yote.

ACHA UZEMBE SEX INALIPA

SEX NI DAWA YA KWELI


Tendo la ndoa husababisha kutibuka kwa kichocheo kiitwacho OXYTOCIN na kukifanya kiaanze kuzurura  kwenye mfumo wa damu. Katika pitapita zake OXYTOCIN   huondoa maumivu yaliyomo katika moyo na nafsi yako na hivyo kuboresha afya yako. Ugunduzi huo ulioripotiwa katika jarida la madaktari bingwa liitwalo THE BULLETIN OF EXPERIMENTIAL BIOLOGY AND MEDICINE. Madaktari hao wanasisitiza kuwa tendo la ndoa likifanyika kwa makamuzi yasiopungua nusu saa hufanya misuli ya mwili kuwa na nguvu na kusaidia katika kupunguza uzito kwa kuunguza mafuta yaliyojijenga mwilini.


Unapata ushahidi huo wewe mwenyewe ukikumbuka kuwa kasi ya upumuaji huongoezeka wakati wa Sex. Kwa watu wenye ugonjwa wa pumuSex ni dawa tamu kwao kwani husababisha uzalishaji wa dawa ya kuondoa makali ya ugonjwa wa pumu kwa kuzalisha mwilini dawa iitwayoANTIHISTAMINE. Sio hilo tu bali kula denda (kunyonyana ulimi) inapunguza kiwango cha tindikali mdomoni na kuongezea afya na usalama wa meno yako.

Wataalam hao wanasema iwapo utafanya tendo la ndoa polepole bila ya haraka yoyote na ukachukua muda usiopungua dakika 30 basi ngozi yako inakuwa nyororo na yenye afya nzuri sana kuliko kutumia vipodozi. Kwa watu wenye umri wa kupata makunyanzi ya uso na ngozi hii ndio dawa pekee ya kuondoa au kuzuia hali hiyo.



La kushangaza zaidi wataalam wengine wa Chuo Kikuu cha ROYAL ASTRALISIAN COLLEGE wanasema kuwa ukiona mpenzi wako hakuelewi na ukiona pia tendo la ndoa mnafanya mara chache na kwa mdua mfupi njia ya kubadilisha akili yake ili apate uwezo wa kufikiria vizuri na kukuelewa ni SEX. Sex au kwa jina linguine URODA hutibua kichocheo kingine kiitwacho DEHYDROEPIAN DROSTERONEambacho kikichanganyikana na kichocheo kilichotajwa hapo juu cha OXYTOCIN hufanya ubongo kuwa mwepesi kuelewa mambo na kumfanya mpenzi wako awe na huruma zaidi na atweza kutafuta njia za kufanya mabadiliko ili usiendelee kuumia.

Na kwa wanaume nao tambueni kuwa mko katika hatari ya kupata saratani ya Prostate (PROSTATE CANCER) na dawa pekee ni URODAmwingi. Mabingwa wa Sayansi ya mwili wako wa NATIONAL CANCER INSTITUTE wa huko Marekani wanapendekeza wanaume wafanye tendo la ndoa mara 5 kwa wiki la sivyo watajikuta wanachomekewa mipira yenye chupa kwenye tundu la uume ili wasifanye sex tena.

Utafiti mwingine wa kweli na wa kushangaza unathibitisha kwamba kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo na kufanya mapenzi bila ya kinga unakuletea faida za kiakili na kiafya pia. Viongozi wa utafiti huo Dr. Gordon Callup na Rebecca Burch wa Chuo Kikuu cha Newyork Marekani na Dr. Steven Platek wa Chuo Kikuu cha Liverpool huko Uingereza wanasema virutubisho vilivyomo katika Mbegu za kiume vina dawa za kubadilisha akili ya mtu (Mid-alterving drug)  virutubiho hivyo viitwavyo ESTRONE, CORTISOL, PROLACTION, THYROTROPIN na SEROTONIN vimethibitishwa kuwa na uwezo w kubadilisha  uwezo w kuelewa na kufanya maamuzi mbalimbali. Sisemi kuwa kutumia kinga ni kubaya bali Mwenyezi Mungu alietuumba alijua thamani ya tendo la ndoa na humo akaweka vitu vitakavyotusaidia. Kinga zimewekwa kwa  ujanja wa wanadamu na mara nyingi ujanja wa wanadamu katik mwili wa mwanadamu una madhara yake kama uonavyo kwa madawa ya kuzuia mimba unaoufahamu kama uzazi wa mpango..


Tafiti hiyo haikuishia hapo bali pia ilionekana pia kwa wanawake wanaojiuza n kufanya ukahaba na wale wazinzi wanaochepuka toka ndoa zao watumiapo kondom wanakuwa hawana tofauti kabisa na wale ambao hawafanyi tendo la ndoa kabisa. Yaani hawafaidiki sawa sawa na wale wanaofanya sex bila kutumia kinga.

Wasiliana nami kwa ushauri na msaada zaidi namba 0754039994.


NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu.Tiba utakayoipata kwangu imetokana na utafiti wa miaka 7 na ukifuata maelekezo yake hutasumbuliwa tena na matatizo ya guvu za kiume na kuwahi kumaliza.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha za kuidumu na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inaaanza na zoezi la kushtua misuli na mishipa husika kasha ndio unatumia dawa hiyo kwa asubuhi na jioni. Dawa hiyo ya PRIKA inawezesha mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu kufanya kazi yake vizuri.


Inamaliza tatizo la kuwahi  kumaliza(kupizz) kwa kuwezesha msuli kujaaa damu na kuibana njia ya kutolea mbegu za kiume jambo ambalo husababisha kuchukua muda mrefu kabla ya mbegu kutoka.Itakusaidia kusimamisha uume haraka baada ya kufunga goli la kwanza kwa kufanya mishipa ya fahamu kusababisha  moyo usukume haraka damu ya kujaza uume mara akili yako itakapoonyesha kutaka kurudia tendo hilo.Tukichukulia mfano wa kisu utaweza kuelewa vizuri nguvu ya dawa hii.MISHIPA ya fahamu inayosababisha usimamishe haraka ni sawa na kisu kikali ambacho hukata nyama haraka.MISHIPA hiyo katika uume wako ikitibiwa na dawa ya PRIKA inakuwa na umakini mzuri a kusababisha uume uitikie haraka haja yako ya kurudia tendo.



KWA mwenye tatizo la kuishia roundi au goli moja mishipa yake ya fahamu imekuwa kama kisu butu, ukiwa na kisu butu itakuchukua muda mrefu kukata nyama kadhalika mwenye tatizo hilo atachukua muda mrefu  kuweza kusimamisha uume tena au ashindwe kabisa.. Tiba hiyo ni Tshs. 25,000 t u. Tiba hiyo itakuwezesha  KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.AGIZIA SASA
KWA kuwasiliana na BINGWA 0754 039994





KIINI CHA TATIZO  LA NGUVU ZA KIUME
Nguvu za kiume za kuaminika hutokana na ushirikiano wa ubongo, mfupa wa fahamu, misuli na mishipa ya damu.Kimoja kati ya hivyo kikisinzia kwa sababu moja au nyingine mwanaume ataaibika mbele za mwanamke aliemvulia chupi.Hatari ni kwamba kwa kuwa mwanamke hana jibu la uhakika anaweza kufikiria umekuwa shoga au una wanawake wengine pembeni.Ndugu katika ulimwengu wa sasa lazima utalinganishwa nguvu zako na ukubwa wa uume wako kabla ya ufundi wako kukaguliwa.SAYANSI inaonyesha kuwa uume wenye afya nzuri husimama mara 11 ndani ya kila masaa 24 na 9 kati ya hizo ni wakati wa usiku.FAHAMU njia za kutunza afya ya uume wako kwa kuagizia dawa ya PRIKA ambayo itakuja na maelekezo yake pamoja na bonasi ya njia za kisayansi za kuzuia tatizo hilo lisikurudie tena baada ya kuondolewa na PRIKA.WAHI SASA ni bidhaa mpya kabisa.

3 comments:

  1. UBARIKIWE MZEE KWA ELIMU INAOSAIDIA WENGI
    NINAKUFATA SIKU ZOTE KWENYE RADIO FREE AFRICA MIMI MKAAJI congo drc Isaac MASUMBUKO

    ReplyDelete
  2. Nashukuru sana kwa elimu yako kaka lakini hiyo dawa ni kwa gharama ya sh. ngapi

    ReplyDelete