Nimekuwa na marafiki
ambao ni wanasheria na nimeona bei kubwa ambazo wanatoza kuwasaidia watu wenye
kesi mbali mbali, bei hizo zimewashinda wengi ambao wanajiona kuwa uwezo wao wa
kuhoji na kujieleza mahakamani ni mdogo sana. Pamoja na utaalamu wao wanasheria
kuna mbinu za kisaikolojia wanazotumia kumfanya mtu ashindwe kujieleza au
kujitetea vizuri na hivyo hata kama hana kosa anaonekana kuwa ana makosa.
Mimi sio mwanasheria lakini ninao ufahamu mkubwa wa misingi ya sheria na
ninafahamu mbinu za kujenga hoja nzito za kumfanya Hakimu aone ukweli na
kunipatia hukumu ya haki. Huko nchi za magharibi wanasaikolojia hutumika kama
mashahidi wa ukweli uliodhibitika (Witnesses of fact). Historia ya
wanasaikolojia kutumika mahakamani iliaanzia mwaka 1896 ambapo mwanasaikolojia
Shrenk Nutzing alitumika kusaidia mahakama katika kesi ya mauaji ya mwaka 1896
huko mjini Munich, na historia hiyo iliendelea pale 1911 mwanasaikolojia
Marbe Wuzdt aliitwa kusaidia kampuni katika kesi iliohusisha dereva wa
garimoshi aliesababisha ajali katika mazingira ya kutatanisha na ilisaidia
dereva huyo kushinda kesi. Kutokana na utendaji mzuri wa wanasaikolojia
mahakamani mwaka 1962 serikali ya Marekani ilianza kuheshimu wanasaikolojia na
walipewa wigo mkubwa mahakamani.
Kwa kadri mahakama ilivyoona ufanisi wa wanasaikolojia ndivyo matarajio
yao kuwa makubwa na kitengo maalumu cha upelelezi kiitwacho FORENCIS kikaundwa
kuisaidia mahakama kupata ushahidi kwa urahisi kwa msaada wa saikolojia.
Napenda nitoe nafasi kwa watu ambao wanaona kuwa hawataweza kulipia
gharama kubwa za wanasheria kuwasiliana na mimi kwa msaada huo kwa
gharama ndogo ya Tsh.20,000/= tu. Nitakupa mbinu za kujieleza, mbinu za kuuliza
maswali kwa wanaokushtaki na pia vitu vya kufanya ili uweze kushinda kesi
yako.Binafsi nimezitumia mbinu hizo na kushinda kesi mahakamani na
ninaamini kuwa naweza kukusaidia na wewe.
Tafiti zinaonyesha kuwa mahakimu ni kama wanadamu wowote na wanaweza
kusikiliza maneno yako na kutengeneza mtazamo unaowafanya wakuone kama mkosaji.
Kutokana na ukweli huo hata
wanasheria
(Ma advocate) wanapaswa waweze kutumia saikolojia ili waweza
kubadilisha mtazamo wa hakimu . Tafiti zinaonyesha kuwa hakimu anao uwezo wa
kukusikiliza vizuri ndani ya wastani wa dakika 17 na dakika 5 za mwanzo
za uongeaji wako uwe mwanasheria au mmachinga katika dakika 5 za mwanzo ndipo
utaweza kumfanya hakimu akusikilize vizuri katika dakika 12 zinazofuata.
Saikolojia inaweza kukusaidia kumhakikishia hakimu kwa kukupa lugha ya picha
ambayo ina nguvu kupenya akili ya hakimu. Jaribu leo sayansi hii ya ajabu
ushinde kesi yako.
LIPIA KWA NAMBA 5410574( HELTHY LOVE
CLINIC ), KISHA NIPIGIE KWA NAMBA:
0754 – 039994. KARIBU UPATE YATAKAYO
KUFANIKISHA
No comments:
Post a Comment