UUME WA KWELI


HATARI ZA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME ZENYE KEMIKALI


Tatizo la nguvu za kiume linalowaathiri mamilioni ya watu na pia kuathiri mahusiano ya kimapenzi .Katika kazi yangu katika Cliniki ya Afya ya Mapenzi asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume na leo nimeona nizungumzie hatari za kutumia madawa mengine yauzwayo katika maduka ya madawa mbalimbali.

Nimeamua kuandika habari hizi baada ya kaka mmoja aliesafiri toka Tabora na kuja kuniona baada ya kwenda katika hospitali ya moja ya rufaa  akiwa na tatizo la kuwahi kumaliza bila kupata msaada. Tatizo hilo limekuwa kero kwa mke wake na hivyo kutaka kuliondoa kwa gharama yeyote ile. Kaka huyo alienda kwa Daktari bingwa wa mambo ya  uume na uke na mambo ya viungo vya uzazi kwa kitaalamu  wanaitwa UROLOGISTS.

Baada ya kuelezea tatizo lake kwa Daktari huyo bingwa alipewa dawa ambazo ni kwa tatizo la nguvu za kiume na hazikumsaidia katika tatizo lake. Nilishangaa kusikia kuwa Daktari bingwa ameshindwa kumsaidia kaka huyo kwani tayari huyo kaka alikuwa anafahamu madhara ya dawa hizo na hivyo kwa kuwa alikuwa tayari amekwisha sikia katika vipindi vyangu vya redio vya USIKU WA MAHABA siku ya Jumatano katika redio FREE AFRIKA alinitafuta alikuja kwangu kama hatua ya mwisho katika mahangaiko yake.Nilifanikiwa kumsaidia na tatizo lake likawa ni historia.

Mwanzoni mwa kazi yangu 2006 nilikuwa nawapa watu dawa hizo zinazouzwa madukani na siku moja Mzee mmoja anaefanya kazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Mwanza alikuja na malalamiko yanayofanana kabisa na kaka huyo toka Tabora. Nilimweleza juu ya tiba mbili nilizonazo yaani dawa hizo za madukani zinazokupa nguvu ya masaa 4 na dawa yangu ya asili inayoweza kukuondolea tatizo hilo baada ya siku 5 hadi 7.  Baba huyo akachagua dawa hiyo ya haraka akaitumia siku hiyo hiyo ili kumziba mdomo mke wake.

Nilimuuzia dawa hizo baba huyo mwenye umri wa miaka 46 na alienda na kuzitumia hizo dawa. Kesho yake baba huyo alirudi ofisini kwangu na kuniambia kuwa kweli alifanikiwa kumfurahisha mke wake usiku uliopita lakini majira ya saa 9 usiku aliamshwa na maumivu makali ya kichwa na kuiona dunia yote kuwa ni rangi ya njano.
 Nisingependa upate matatizo yanayofanana na hayo na yafuatayo ni uthibitisho wa kisayansi wa madhara ya dawa hizo:-

Kuna tovuti 22 milioni zinazoshabikia madawa mbalimbali ya nguvu za kiume zenye kemikali za hatari kwako  kwa hiyo ni rahisi kushawishiwa na kutapeliwa. Shirika la  kudhibiti madawa na vyakula la huko Marekani limeorodhesha  majina ya madawa yenye madhara kwa mtumiajo na madawa hayo ni Zimayx, vigor – 25, True Man ,Shanghai Ultra, neophase, Nasutra Man up now, Liviro 3 , Libidus, Lady Shanghai, Hs joy of love, Energy Max, Blue steel, Actva Sx ,Activa Rx na Adam free.

Madawa hayo yote na mengineyo yasioorodheshwa hapo hufanya kazi kama ifuatavyo:-
Madawa hayo yana kemikali iitwayo PHOSIPHODIESTERASE 51 (PDE51) na kazi ya PDE51 ni kuzuia nguvu ya Enzyme iitwayo PHOSPHODIESTERASE 5 (PDE5)ambayo ndiyo inayozuia uume kusimama kama inavyotakiwa. Kemikali ya PDE51 inanyonywa ndani ya damu  na ndani ya saa moja mwanaume anakuwa na nguvu ya kumuwezesha kushiriki tendo la ndoa ndani ya masaa yasiozidi 4 kutokana na afya ya mtu mara  nyingi nguvu za dawa hiyo huweza kwenda hadi  masaa 7.

Ubaya wa madawa hayo  na mengine ni kwamba yana kemikali iitwayo GLYBURIDE yenye nguvu ya kuathiri mapigo ya moyo na kushusha presha ya damu ambayo ni hatari sana. Mwaka 2008 huko mjini Singapore watu 150 walilazwa hospitalini kutokana na kutumia madawa hayo.

Shirika la kuthibiti madawa la Marekani la FDA lilifanya upelelezi na kugundua kuwa madawa mengi ya nguvu za kiume yana kemikali ambazo ni za hatari.

Dalili za kuwa umeanza kuathirika na madawa hayo  UNAPOZITUMIA ni hizi zifuatazo:-

(1)        Maumivu ya misuli.
(2)        Kupata shida ya upumuaji.
(3)        Maumivu ya kichwa.
(4)        Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5)        Kupiga chafya ovyo ovyo.
(6)        Kuvurugika kwa tumbo mara baada ya kula chakula.
(7)        Mafua.
(8)        Kupata shida kupata usingizi.
(9)        Ngozi kuwa na joto lisilo la kawaida.
(10)     Maumivu ya masikio.
(11)     Kichefuchefu.
(12)     Ulimi kuwa mwekundu kuliko kawaida.
(13)     Kushindwa kumwaga mbegu hata ukifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
(14)     Kuona dunia imebadilika rangi.
(15)     Kuwa na hali ya wasiwasi bila ya sababu yeyote.
(16)     Maumivu kifuani.
(17)     Kutokuona sawa sawa.
(18)     Njaa ya kupita kiasi.
(19)     Kuongezeka kwa ukubwa wa mboni ya jicho.
(20)     Kutokwa jasho sana.
(21)     Maumivu ya mgongo.
(22)     Kutopendelea mwanga mkali.
(23)     Uchovu wa bila sababu.


Ndugu nimeandika hayo kufumbua macho uone kwa yapo madhara na ukitaka uhakika iwapo unafahamu kiingereza tafuta kwenye GOOGLE kwa kuandika ED drugs are harmful na utajionea mwenyewe ukweli huo.

Dawa ya PRIKA utakayoiona katika blog hii ni ya asilia kwani imetokana na mimea halisi na haifanyi kazi mpaka imetanguliwa na mazoezi maalumu utakayofanya ukiwa umekaa kwenye kiti. Uanzapo kutumia dawa hii ya PRIKA utaanza kuona mabadiliko baada ya siku 5 – 7 lakini utaitumia dawa hiyo kwa wiki mbili ili kulifuta tatizo la nguvu za kiume na la kuwahi kumaliza .Unapoagiza dawa hiyo utapewa kijarida kitakachokupa maelekezo ya kutumia dawa hiyo na pia maelekezo ya mambo ya kuepuka ili tatizo hilo lisikurudie tena maisha yako yote.


NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu.Tiba utakayoipata kwangu imetokana na utafiti wa miaka 7 na ukifuata maelekezo yake hutasumbuliwa tena na matatizo ya guvu za kiume na kuwahi kumaliza.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha za kuidumu na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inaaanza na zoezi la kushtua misuli na mishipa husika kasha ndio unatumia dawa hiyo kwa asubuhi na jioni. Dawa hiyo ya PRIKA inawezesha mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu kufanya kazi yake vizuri .Inamaliza tatizo la kuwahi  kumaliza(kupizz) kwa kuwezesha msuli kujaaa damu na kuibana njia ya kutolea mbegu za kiume jambo ambalo husababisha kuchukua muda mrefu kabla ya mbegu kutoka.Itakusaidia kusimamisha uume haraka baada ya kufunga goli la kwanza kwa kufanya mishipa ya fahamu kusababisha  moyo usukume haraka damu ya kujaza uume mara akili yako itakapoonyesha kutaka kurudia tendo hilo.Tukichukulia mfano wa kisu utaweza kuelewa vizuri nguvu ya dawa hii.MISHIPA ya fahamu inayosababisha usimamishe haraka ni sawa na kisu kikali ambacho hukata nyama haraka.MISHIPA hiyo katika uume wako ikitibiwa na dawa ya PRIKA inakuwa na umakini mzuri a kusababisha uume uitikie haraka haja yako ya kurudia tendo.KWA mwenye tatizo la kuishia roundi au goli moja mishipa yake ya fahamu imekuwa kama kisu butu, ukiwa na kisu butu itakuchukua muda mrefu kukata nyama kadhalika mwenye tatizo hilo atachukua muda mrefu  kuweza kusimamisha uume tena au ashindwe kabisa.. Tiba hiyo ni Tshs. 25,000 t u. Tiba hiyo itakuwezesha  KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.AGIZIA SASA
KWA kuwasiliana na BINGWA 0754 039994

UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME

Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la.

(1)        Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu.

(2)        Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.

(3)        Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2).

...endelea ukurasa wa HABARI MPYA..Bofya hapa...UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME

Pia USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII wiki lijalo kutakuwa na mambo mengi mapya.




KUONGEZA UKUBWA WA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Posted: October-2013


Epukana na matapeli wanaojitangaza kuwa wana dawa za kuongeza ukubwa wa uume wako kwani ni wengi mno. Wamekuja watu wengi ambao  wametapeliwa na watu ambao wanajidai kuwa wanazo dawa za kukuza uume ambazo hazina msingi wowote katika sayansi ya mwili wa mwanadamu. Kwa miaka 9 nimeweza kuwapatia wanaume wengi dawa ya RODVA ambayo imefanyiwa utafiti wa miaka 14 na jopo la madaktari ambao utafiti wao uliwekwa katika Jarida la BRITISH JOURNAL OF MEDICINE. Dawa hii ya mafuta ina uwezo wa kuongeza urefu wa uume wa nchi 3  na unene nchi moja na sio zaidi ya hapo. Wewe mwenyewe utachagua kiasi gani unataka uongeze kwani utakuwa unaona ukuaji wake wewe mwenyewe na uachapo kutumia dawa pale uridhikapo na ongezeko basi hilo ndilo litakuwa ongezeko la mwisho. Ongezeko hilo litakuwa la kudumu.
Pamoja na kwamba dawa hiyo haina madhara ila inahitaji uvulimivu kwani inafanya kazi polepole kuhakikisha usalama wa afya ya uume. Ongezeko la kwanza utaliona baada ya wiki tatu na mafuta hayo yanapakwa mara moja tu kwa siku. Dawa hiyo inauzwa Tshs. 40,000 tu. Ni ya uhakika

UNAWEZA KUONGEZA UKUBWA WA ASKARI WA TENDO LA NDOA

ONGEZEKO NI LA HAKIKA KABISA

UKWELI JUU YA UKUBWA WA UUME


Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la.

(1)        Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu.

(2)        Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.

(3)        Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2).

(4)        Unapofikiria kuwa uume wako ni mdogo mara nyingi unakuwa hujakosea.

(5)        Wanawake wengi hujali kuhusu ukubwa wa uume unapokuwa haujasimama.

(6)        Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kushika uume wa mwanaume unapokuwa umesimama na pia pale ambapo haujasimama.

(7)        Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kunyonya uume ulio mkubwa kuliko ule ulio mdogo

(8)        Uume mkubwa huleta burudani zaidi kwa mwanamke zaidi ya uume mdogo kwani unagusa maeneo mengi zaidi yenye miisho mingi ya mishipa ya fahamu na unaweza kuondoa hewa yote iliomo ukeni na kutengeneza mazingira mazuri ya raha zaidi.

(9)        Asilimia ishirini ya wanawake wote watadumu na kuwa waaminifu kwa wapenzi wao wenye uume mkubwa sababu kubwa ni raha wanayopata na sio fedha au kitu kingine.

(10)     Asilimia 40 ya wanawake watadumu na mpenzi mwenye uume mdogo kwa sababu ya pesa anazofaidi.

(11)     Asilimia 80 ya wanawake wangependelea wapenzi wao waongeze ukubwa wa uume wao.

(12)     Wanawake wengi wanaona kuwa ni kero kuwa na mwanaume mwenye uume mdogo japo hawasemi na kukaa kimya kama vile hakuna shida yoyote. Na sio hilo tu bali pia inawaboa sana kufikiria juu ya mapungufu hayo.

(13)     Ukikutana na mwanamke anayesema kuwa hajali juu ya ukubwa wa uume ni muongo.

(14)     Wanawake wengi hutamani kulala na mwanaume mwenye uume mkubwa zaidi ya ule wa mpenzi wake japo kwa siku moja tu katika historia ya maisha yake.

(15)     Wanawake wengi hujitapa kwa wanawake wenzao iwapo wana mwanaume mwenye uume mkubwa wa kutosha.

(16)     Wanawake wanaweza kumvumilia zaidi mwanaume mwenye uume mkubwa kupita kiasi kuliko kumvumilia mwenye uume mdogo.

(17)     Wanaume wenye uume mdogo huachwa na wanawake kwa urahisi zaidi kuliko wale wenye uume mkubwa. Na wanaoachwa kwa sababu ya uume mdogo ni wengi zaidi ukilinganisha na wale wenye uume mkubwa.

(18)     Kutokana na ukweli huo upo uwezekano mkubwa kuwa mwanamke anapokuacha au kukusaliti basi mwanaume mpya ni mwenye uume mkubwa zaidi yako.



             NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA

Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu. Usidanganywe kuwa kuna tiba ya kudumu ya tatizo hilo.

Tiba ya muda mfupi, yaani unameza kidonge kimoja saa moja kabla ya kukutana na mwanamke katika tendo la ndoa, kesho ukihitaji tena inakupasa umeze kidonge kingine chenye thamani isiyopungua Tshs. 3000.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inahusu mazoezi maalumu ya misuli ihusikayo na nguvu za kiume na virutubisho ambavyo kazi yake ni kufanya mzunguko wa damu katika misuli hiyo kuongezeka na pia kufanya mishipa ya fahamu ifanye kazi nzuri ya kukuwezesha kurudia tendo pale akili yako itakapotaka kurudia roundi nyingine. Tiba hiyo ni Tshs. 25,000 tu. Tiba hiyo inaitwa KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.


Wasiliana nami kwa Simu Na: 0754 – 0399940754 – 039994 Au