HAMU YA TENDO

Ni ukweli usiopingika ni kuwa hakuna starehe iliyotamu zaidi ya tendo la ndoa kwani hata wanyama kama vile ng`ombe na mbwa wanashuhudia hilo na ndege nao pia kama kuku na bata nao pia wanatukumbusha hilo. Kutokana na utamu huo wanadamu, wanyama na hata ndege hawataki kuona dume jingine linataka kufanya mambo na jike lake. Kwa kuwa wanyama na ndege hawana akili nyingi kama mwanadamu ungetegemea kuona kuwa mwanadamu anafaidi zaidi utamu huo wa ajabu  na kuweza kuondoa vikwazo vyovyote vinavyomfanya mtu asifurahie zawadi hiyo kubwa toka kwa mwenyezi Mungu.

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na chuo kikuu cha Texas huko Marekani unaonyesha kuwa wanawake wenye umri kati ya 27 hadi 45 hufurahia zaidi tendo la ndoa ukilinganisha na wale wenye umri wa 18 na 26 japokuwa  hawa wa umri wa 18-26 hushirikiana tendo  la ndoa mara nyingi zaidi ya kundi lile linguine. Kiongozi wa utafiti huo Dr. David Buss anasema kuwa wanawake wenye umri kati ya 27 na 45 pia huwa na uwezekano mkubwa wa kutamani mwanaume mwingine zaidi ya mpenzi wake wa sasa. Hivyo kwa mwanamke yeyote yule kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa lazima kuonekane kama tatizo la ugonjwa mkubwa. Utafiti huo mpya uliofanywa miongoni mwa wanawake 820 umegundua kuwa wanawake wengi wenye tatizo hilo huwa wepesi kuwakatalia tendo la ndoa wapenzi wao bila kujali matokeo mabaya ya ukatili huo. Nasema ni ukatili kwani mwanaume hupata maumivu makali sana anapokataliwa kushiriki tendo la ndoa na ndio maana kwenye Biblia katika kitabu cha kwanza cha Wakorintho sura ya 7 tunaagizwa tusinyimane tendo hilo muhimu kwani ni hatari. (1 Wakorintho 7:1-5).
Dr David Buss anasema kuwa asilimia 34 ya wanawake hawana hamu ya tendo la ndoa na asilimia zaidi ya 70 ya wanawake hao hao wamekiri kwamba tatizo hilo limechangia kuharibu ndoa zao na mahusiano yao kwa ujumla.La kustajaabisha ni kwamba ni wachache sana kati yao waliodiriki kutafuta tiba ya tatizo hilo. Daktari mwingine aliyeshiriki katika utafiti huo Dr. Sherly Kingsberg anasema kuwa wanawake wengi hawajui kuwa hilo ni tatizo na hawajui kuwa ni tatizo linalotibika. Tatizo linakuwa kubwa kwani madaktari wengi katika hospitali zetu  hapa nchini hawajui la kufanya kuwasaidia watu wa aina hiyo wanawake kwa wanaume. Katika utafiti wangu mwenyewe nimegundua hilo na kwa mshangao mkubwa kuona madaktari wengi hawahangaiki kutafuta njia sahihi na zisizo na madhara kwa watu wenye matatizo ya hamu ya tendo la ndoa. Hivi karibuni mwezi wa 3. 2015 nilikuwa naongea na daktari mmoja toka hospitali moja ya rufaa jijini Mwanza na nilishangaa kuwa alikuwa hajui kazi ya vichocheo vya Oxytocin na Dopamine katika kuongezea utamu na hamu ya tendo la ndoa katika mwili wa mwanadamu. Na huyo hakuwa daktari wa kwanza kunionyesha mapungufu yaliyomo katika madaktari wanaosomea hapa nchini Tanzania.
Mtaalamu mwingine alishiriki kwenye utafiti huo anasema ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa ni janga kubwa katika historia ya mwanadamu. DR. Louna Brizendine mkurugenzi wa WOMEN`S MOOD AND HORMONE CLINIC (KLINIKI YA HISIA NA VICHOCHEO VYA WANAWAKE) wa chuo kikuu cha Califonia anasema wanawake wengi hujisikia vibaya juu ya tatizo hilo lakini hawalitafutii ufumbuzi wake.
Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa unawakosesha wanaume na wanawake wengi raha ya maisha yao. Dalili kubwa ya tatizo hili baya ni kupungua kwa mawazo juu ya tendo la ndoa, kupata shida kufika kilelen na kutopata raha ya kutosha wakati wa tendo la ndoa.

Wanawake wanaongoza katika kupungukiwa na hamu ya tendo la ndoa jambo ambalo ni hatari kubwa kwa wanandoa ,kwa sehemu imechangiwa na madawa ambayo wanawake hutumia kuzuia wasipate ujauzito. Tafiti zilizofanyika na chuo kikuu cha Tubingeni nchini ujerumani zimeonyesha kuwa wanawake wengi wanaotumia dawa za kumeza kuzuia kupata mimba ndio ambao wameathirika zaidi ya wengine wanaotumia njia nyingine tofauti.
Tatizo la kupoteza hamu kwa vipindi Fulani huitwa Hypoactive Sexual Desire disorder na tatizo la kupoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa linaitwa sexual aversion disorder.
Tatizo la hamu la tendo la ndoa miongoni mwa wanaume nalo linahitaji kuangaliwa kwa kina kwani linawakumba asilimia 10 ya wanaume  wenye umri kati ya 45 hadi 60 na asilimia 20 kwa wanaume wenye umri zaidi ya 60.  Asilimia 6 tu ya wanaume chini ya miaka 45 wamekumbwa na tatizo hilo. Katika uzoefu wangu katika kuhudumia watu na pia uzoefu wa wataalamu wengine wengi tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linachangia sana kwa wanaume kupungukiwa na hamu ya tendo la ndoa.
VITU VINAVYOCHANGIA KULETA TATIZO LA UPUNGUFU WA HAMU YA TENDO LA NDOA
1.     POMBE
Ingawaje pombe yaweza kukufanya utamani tendo la ndoa kwa jinsi ilivyokuwa na nguvu ya kukuondolea aibu lakini ukitumia pombe kwa wingi itakupunguzia hamu na uwezo wa kufurahia tendo la ndoa.

2.     KAHAWA
Ni kweli kuwa kahawa inaweza kukufanya mchangamfu na ni kweli inaweza kukuongezea nguvu kwa muda mfupi lakini kutumia kahawa nyingi mara kwa mara kunaathiri kiungo muhimu kinachoitwa ARDENAL GRAND na kusababisha ubongo na mwili wako ujazwe kichocheo kiitwacho CORTISOL ambacho huleta uchovu mwingi katika mwili wako jambo ambalo linaweza kunyausha hamu na nguvu ya tendo la ndoa.

3.     SUKARI BANDIA
Kwenye vinywaji vingi na vitu vingi vitamu vitamu huwemo sukari bandia ambayo inakemikali iitwayo ASPARTAME. Kemikali hiyo ya aspartame huzuia kichocheo cha SEROTONIN ambacho kazi yake ni kurahisisha usikie raha zaidi wakati wa tendo la ndoa. Unaposhindwa kujisikia raha na hali hiyo kujirudia hamu ya tendo la ndoa hukauka. Utafiti uliofanyika miongoni mwa watu 21,000 na kuchapishwa katika jarida la NEW ENGLAND JOURNAL OF MEDICINE imethibitishwa kuwa sukari bandia katika vinywaji kupunguza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wengi duniani.


4.     VITU VYENYE MAZIWA MENGI
Hii inawahusu hasa wanawake na pia wale wanaopenda Ice cream na milkshake katika maziwa.

5.     VYA KUKAANGWA
Vyakula vya kukaangwa katika mafuta vina vitu vinavyoitwa TRANS FATS ambayo hutokana na mafuta yaliyochemka sana na kutengeneza HYDROCARBON. Vitu hivyo viitwavyo hydroicarbon hupandisha kiwango cha sukari mwilini na huleta uchovu mwilini. HYDROCARBON inaweza kupunguza ubora wa mbegu za kiume na afya ya yai  kwa wanawake katika viungo vya uzazi wa mwanamke.

6.     UCHOVU
Kufanya kazi bila ya kupumzika au mawazo magumu husababisha kichocheo cha CORTISOL kumiminwa katika mfumo wa damu na kupunguza nguvu ya vichocheo vingine vinavyohusika na tendo la ndoa na sio hilo tu bali pia uchovu huweza kusababisha pia upungufu wa nguvu za kiume. Pamoja na hayo ukosefu wa usingizi nao huleta matokeo hayo hayo kwani nalo hilo hutibua kichocheo cha CORTISOL.
7.     KUJIFUNGUA
Mama anapojifungua mtoto mchanga kiwango cha kichocheo kiitwacho OESTROGEN hupungua kutokana na kunyonyesha mtoto huyo na sio hilo tu bali pia inaweza kufanya uke kuwa mkavu na hivyo mama kutofurahia tendo la ndoa.

Dawa ya kuondoa tatizo hilo ipo na ni dawa isiyo na madhara kabisa na ni ya asili dawa hiyo inaitwa SPONSA. Dawa hiyo hufanya kazi kwa wanaume na wanawake pia. SPONSA imetengenezwa na mimea ambayo inavirutubisho ambavyo husaidia kuhamasisha mwili kutengeneza vichocheo muhimu vya Testosterone, Luteinizing hormone, estrogen ambavyo husababisha mtu kuwa na hamu ya tendo la ndoa. Dawa ya SPONSA pia huimarisha mishipa ya damu ili iweze kusambaza hamu na raha ya tendo la ndoa mwilini. 

No comments:

Post a Comment