JIBU LA SWALI


KUTAFUTA MCHUMBA AU MPENZI

Clinic ya Afya ya mapenzi sasa imetimiza mwaka wa kumi na tatu na kutokana na uzoefu wangu kuna watu wengi wanaohitaji kuunganishiwa na watu ambao wangependa baadae wafunge ndoa (UCHUMBA), lakini wapo ambao hawahitaji hilo bali wanahitaji burudani ya kimapenzi peke yake. Kutokana na hoja hiyo mwaka huu 2017 Clinic ya Afya ya Mapenzi imesajiliwa kama kampuni iitwayo Healthy Love Clinic LTD (HELOC) na hivyo tunapanua wigo na kukuletea huduma ya kutafutiwa Mwenzi kwa kulipia sh. 10,000/= tu. Usione kuwa ni kiwango kikubwa kwani tayari umetumia pesa nyingi sana kumnunulia zawadi mpenzi ambae ukampoteza, umelipia chumba hoteli na chakula kwa ajili yake lakini hukufanikiwa.



Clinic ya afya ya mapenzi inakuletea huduma hiyo ili kukupunguzia gharama na upate mtu mwenye haja kama yako na sio mtu wa kuchezea hisia zako. Angalia madaraja ya wapenzi na chagua daraja ambalo unapenda mumeo au mkeo atoke.

DARAJA CHUNGWA
1.      Awe na Elimu isiyopungua form 4.
2.      Ajijue kuwa yeye ni mrefu wa kimo.
3.      Ajijue yeye ni  mweupe asie na mchanganyiko.(sio weupe wa mikorogo)
4.      Ajijue kuwa hana kitambi kikubwa (cha wastani kama samaki)
5.      Awe na kazi au biashara na kipato chake cha mwezi kisipungue sh. 350,000/=
6.      Dini yake iwe sawa na yangu

DARAJA CHENZA

1.      Elimu sio issue ajue kupenda inatosha
2.      Kimo chake sio issue sana lakini ajijue zaidi hana ufupi unaosikitisha.
3.      Rangi ya ngozi yake sio issue kwangu bora ajue kuvaa na kuoga.
4.      Hata akiwa mnene lakini ajue unene kupita kiasi ni ugonjwa (asiwe mlafi).
5.      Hata kama hana kazi ninao uwezo wa kumtunza asipojali ( hata kama yeye ni mwanaume).
6.      Mungu mmoja dini hazimkati vipande viwili sichagui dini.(Tunaweza kuishi kila mtu na dini yake).




DARAJA NYANYA
Hili ni daraja la watu ambao wameathirika na ugonjwa wa kisasa uitwao UKIMWI.  Nimetoa nafasi hii ya daraja maalumu kabisa kwani nimeona haja ya kuwasaidia ndugu zetu wanaoishi na virusi vya ugonjwa  huo  kwa kuwa wamejikubali na wanajithamini. Nilitoa tangazo katika kipindi changu cha usiku wa mahaba kinachorushwa kila siku ya jumatano na jumatatu saa 5 na nusu usiku katika Radio FREE AFRIKA na wengi walionyesha haja ya kupata wachumba wenye hali kama yao ya maambukizi hayo.

DARAJA BEMBEA
Hili ni daraja la kimapenzi pekee na wazo la kupata mume au mke wa kuishi nae halipewi kipaumbele. Katika daraja hili mtu anatafuta burudani ya kimahaba pekee na kama swala la ndoa litaingizwa litakuwa kama ajali.
Kwa maneno mengine ni kwamba mtu ambae alianza akiwa na lengo la burudani ya kimahaba  anaweza kubadilisha mawazo yyake na kutaka kupata hati miliki ya ndoa. Hivyo basi unapolipia kupata huduma hii Elezea yafuatayo.
1.      Jinsia yako mke au mme 2. Umri wako.
2.      Upate mpenzi mwenye umri toka miaka 18 hadi mingapi

JINSI YA KUFANYA MALIPO NA KUUNGANISHWA
1.    Lipa kwa m pesa pekee kwa namba ya malipo 5410574( Jina litakalojitokeza ni HEALTHY LOVE CLINIC)tuko ktk mchakato wa kupata namba za LIPA KWA TIGO PESA NA AIRTEL MONEY, Muda sio mrefu itakuwa hivyo.
2   forward risiti ya malipo kwa namba 0754 039994.
3.Taja jinsia yako,kama u mwanaume au mwanamke na umri wako.ELEZEA DARAJA unalotaka mpenzi wako atoke na pia weka umri wako na mpenzi mtarajiwa awe na umri toka miaka mingapi hadi mingapi.
4.SUBIRI NUSU SAA (DAKIKA 30) UTATUMIWA NAMBA 5 TOFAUTI ZA SIMU za watu wenye haja kama yako katika daraja ulilochagua.
Tahadhari.tupe taarifa za mtu ambaye anatanguliza fedha zaidi ya mahusiano tutafuta jina lake haraka.
   BIBLIA yasema YOTE YAWEZAKANA KWAKE MWENYE IMANI,na kwako inawezekana kabisa ukiamini.IMANI bila vitendo imekufa, chukua hatua sasa.




JINSI YA KUSHINDA KESI MAHAKAMANI

Nimekuwa na marafiki ambao ni wanasheria na nimeona bei kubwa ambazo wanatoza kuwasaidia watu wenye kesi mbali mbali, bei hizo zimewashinda wengi ambao wanajiona kuwa uwezo wao wa kuhoji na kujieleza mahakamani ni mdogo sana. Pamoja na utaalamu wao wanasheria kuna mbinu za kisaikolojia wanazotumia kumfanya mtu ashindwe kujieleza au kujitetea vizuri na hivyo hata kama hana kosa anaonekana kuwa ana makosa.



            Mimi sio mwanasheria lakini ninao ufahamu mkubwa wa misingi ya sheria na ninafahamu mbinu za kujenga hoja nzito za kumfanya Hakimu aone ukweli na kunipatia hukumu ya haki. Huko nchi za magharibi wanasaikolojia hutumika kama mashahidi wa ukweli uliodhibitika (Witnesses of fact). Historia ya wanasaikolojia kutumika mahakamani iliaanzia mwaka 1896 ambapo mwanasaikolojia Shrenk Nutzing alitumika kusaidia mahakama katika kesi ya mauaji ya mwaka 1896 huko  mjini Munich, na historia hiyo iliendelea pale 1911 mwanasaikolojia Marbe Wuzdt aliitwa kusaidia kampuni katika kesi iliohusisha dereva wa garimoshi aliesababisha ajali katika mazingira ya kutatanisha na ilisaidia dereva huyo kushinda kesi. Kutokana na utendaji mzuri wa wanasaikolojia mahakamani mwaka 1962 serikali ya Marekani ilianza kuheshimu wanasaikolojia na walipewa wigo mkubwa mahakamani.

            Kwa kadri mahakama ilivyoona ufanisi wa wanasaikolojia ndivyo matarajio yao kuwa makubwa na kitengo maalumu cha upelelezi kiitwacho FORENCIS kikaundwa kuisaidia mahakama kupata ushahidi kwa urahisi kwa msaada wa  saikolojia.

            Napenda nitoe nafasi kwa watu ambao wanaona kuwa hawataweza kulipia gharama  kubwa za wanasheria kuwasiliana na mimi kwa msaada huo kwa gharama ndogo ya Tsh.20,000/= tu. Nitakupa mbinu za kujieleza, mbinu za kuuliza maswali kwa wanaokushtaki na pia vitu vya kufanya ili uweze kushinda kesi yako.Binafsi   nimezitumia mbinu hizo na kushinda kesi mahakamani na ninaamini kuwa naweza kukusaidia na wewe.

            Tafiti zinaonyesha kuwa mahakimu ni kama wanadamu wowote na wanaweza kusikiliza maneno yako na kutengeneza mtazamo unaowafanya wakuone kama mkosaji. Kutokana na ukweli huo hata wanasheria                   (Ma advocate) wanapaswa waweze kutumia saikolojia ili waweza  kubadilisha mtazamo wa hakimu . Tafiti zinaonyesha kuwa hakimu anao uwezo wa kukusikiliza vizuri ndani ya wastani wa dakika 17 na dakika 5  za mwanzo za uongeaji wako uwe mwanasheria au mmachinga katika dakika 5 za mwanzo ndipo utaweza kumfanya hakimu akusikilize vizuri katika dakika 12 zinazofuata. Saikolojia inaweza kukusaidia kumhakikishia hakimu kwa kukupa lugha ya picha ambayo ina nguvu kupenya akili ya hakimu. Jaribu leo sayansi hii ya ajabu ushinde kesi yako.
LIPIA KWA NAMBA 5410574( HELTHY LOVE CLINIC ), KISHA NIPIGIE KWA NAMBA:
0754 – 039994. KARIBU UPATE YATAKAYO KUFANIKISHA


HUDUMA ZA DR. PAUL NELSON

DR. Paul Nelson ni wa kwanza nchini Tanzania kuwa na ofisi inayotoa huduma ua ushauri kwa watu waliomo katika mahusiano ya kimapenzi kifamilia na kikazi. Vipindi nyake vinavyo sikika kupitia Redio Free Africa kila siku ya Jumatano sa 5-7 usiku na Kiss Fm (kwa kiingereza) kila Jumapili kuanzia saa 4-6 usiku vimewanufaisha watu wengi hapa Tanzania na nchi kama Kenya, DRC, Uganda na Burundi.
 DR Nelson ameandika vitabu vitatu ili kuelimisha jamii na vitabu hivyo vinauzwa maeneo mbalimbali nchini, wasiliana nami kufahamu wapi unaweza kupata.
Ni matumaini yangu kuwa wengi wataendelea kufaidika na huduma ya cliniki ya afya ya mapenzi kupitia blog hii. 
0754039994 – Doctor Nelson
Nyanza Build door No. 214


UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la.



(1)        Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu.



(2)        Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.


(3)        Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2).



...endelea ukurasa wa HABARI MPYA..Bofya hapa...UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME


Pia USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII wiki lijalo kutakuwa na mambo mengi mapya.