MWANAUME SHUJAA



 Tembelea Website Yetu Bofya Hapa 

 

NGUVU ZA DUME


NGUVU ZA ASKARI WA TENDO LA NDOA
Tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kumaliza linawasumbua wanaume wengi sana na kwa bahati mbaya kwa kuwa tatizo hilo halisababishwi na wadudu wa aina yoyote na tiba yake imekuwa ngumu.Tiba utakayoipata kwangu imetokana na utafiti wa miaka 7 na ukifuata maelekezo yake hutasumbuliwa tena na matatizo ya guvu za kiume na kuwahi kumaliza.

Tafiti zimegundua njia nafuu na salama ya kukupatia nguvu za kutosha za kuidumu na kuzuia kuwahi kumaliza. Tiba utakayoipata toka kwangu inaaanza na zoezi la kushtua misuli na mishipa husika kasha ndio unatumia dawa hiyo kwa asubuhi na jioni. Dawa hiyo ya PRIKA inawezesha mishipa ya fahamu pamoja na mishipa ya damu kufanya kazi yake vizuri.


Inamaliza tatizo la kuwahi  kumaliza(kupizz) kwa kuwezesha msuli kujaaa damu na kuibana njia ya kutolea mbegu za kiume jambo ambalo husababisha kuchukua muda mrefu kabla ya mbegu kutoka.Itakusaidia kusimamisha uume haraka baada ya kufunga goli la kwanza kwa kufanya mishipa ya fahamu kusababisha  moyo usukume haraka damu ya kujaza uume mara akili yako itakapoonyesha kutaka kurudia tendo hilo.Tukichukulia mfano wa kisu utaweza kuelewa vizuri nguvu ya dawa hii.MISHIPA ya fahamu inayosababisha usimamishe haraka ni sawa na kisu kikali ambacho hukata nyama haraka.MISHIPA hiyo katika uume wako ikitibiwa na dawa ya PRIKA inakuwa na umakini mzuri a kusababisha uume uitikie haraka haja yako ya kurudia tendo.



KWA mwenye tatizo la kuishia roundi au goli moja mishipa yake ya fahamu imekuwa kama kisu butu, ukiwa na kisu butu itakuchukua muda mrefu kukata nyama kadhalika mwenye tatizo hilo atachukua muda mrefu  kuweza kusimamisha uume tena au ashindwe kabisa.. Tiba hiyo ni Tshs. 25,000 t u. Tiba hiyo itakuwezesha  KUSHINDA KUTOTABIRIKA KWA NGUVU ZA KIUME.AGIZIA SASA
KWA kuwasiliana na BINGWA 0754 039994





KIINI CHA TATIZO  LA NGUVU ZA KIUME
Nguvu za kiume za kuaminika hutokana na ushirikiano wa ubongo, mfupa wa fahamu, misuli na mishipa ya damu.Kimoja kati ya hivyo kikisinzia kwa sababu moja au nyingine mwanaume ataaibika mbele za mwanamke aliemvulia chupi.Hatari ni kwamba kwa kuwa mwanamke hana jibu la uhakika anaweza kufikiria umekuwa shoga au una wanawake wengine pembeni.Ndugu katika ulimwengu wa sasa lazima utalinganishwa nguvu zako na ukubwa wa uume wako kabla ya ufundi wako kukaguliwa.SAYANSI inaonyesha kuwa uume wenye afya nzuri husimama mara 11 ndani ya kila masaa 24 na 9 kati ya hizo ni wakati wa usiku.FAHAMU njia za kutunza afya ya uume wako kwa kuagizia dawa ya PRIKA ambayo itakuja na maelekezo yake pamoja na bonasi ya njia za kisayansi za kuzuia tatizo hilo lisikurudie tena baada ya kuondolewa na PRIKA.WAHI SASA ni bidhaa mpya kabisa.




PIGA VITA TAMAA MBAYA

Watu wengi huamini kuwa tamaa ni mbaya na ni ya kupigwa vita lakini Biblia haikatazi tamaa bali inakataza tamaa mbaya. Tamaa mbaya ni ile ambayo inakusukuma kutaka kumiliki au kutumia kitu au mali ya mtu mwingine kinyume cha sheria.

Bwana Yesu anaposema “lakini mimi nawaambia kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake” hamaanishi kuwa kutazama na kufurahia unachokiona ni dhambi bali ni kuona mwanamke na ukapendezwa nae na ndani ya nafsi yako ukaanza kufikiria juu ya utamu wa kufanya nae tendo la ndoa.

Neno la Kiyunani linalotumika hapo kuelezea tamaa ni “EPITHUMIA” na neno hilo hilo analitumia Yesu aliposema “Ninatamani sana kuila pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu (LUKA 22:15) Bwana Yesu anaposema anatamani hapa tayari moyoni mwake anayo picha ya yeye pamoja na wanafunzi wamekaa mezani wakila chakula pamoja. Tamaa mbaya ni kama ile ambayo inamfanya mtu amtamani shemeji yake na aanze mchakato wa kumtongoza na kufanya nae tendo la ndoa.

Kuna vitu ambavyo wote tunafahamu kuwa vina uwezo wa kuharibu maisha ya mtu na hata familia yake yote. Wote tunajua kuwa ulevi wa pombe na madawa ya kulevya jinsi yanavyochangia katika maovu tunayoona au kuyasikia kila siku.

Tamaa ya kuwa na mwanaume au mwanamke katika tendo la ndoa imeongezeka nguvu yake na kusababisha uvunjikaji wa ndoa nyingi sana. Tafiti zinaonyesha kuwa asilimia 67 ya wake kwa waume wanaamini kuwa sio vibaya kushiriki tendo la ndoa kabla hujaingia kwenye ndoa. Asilimia hizo ni nyingi sana na kutokana na kukubalika kwa hilo utakuta kuwa kabla ya kuoa au kuolewa mtu anakuwa ameshafanya tendo la ndoa na watu wasiopungua watatu.

Mchezo hauishii hapo tu na hata baada ya mtu kuingia ndani ya ndoa anajikuta anamlinganisha mpenzi wake na wapenzi wa zamani na hivyo kuona mapungufu kwa mke na mume wake na hivyo kuhalalisha uzinzi kwa kutafuta wapenzi wa siri pembeni.



Ndugu yangu tamaa ni nzuri ikielekezwa katika maeneo mazuri na ikienda njia potofu majanga hutokea. Mimi kama mwanaume mwenye umri wa miaka 50 nimeiona nguvu ya tamaa baada ya kufiwa na mke wangu niliyempenda na ambaye sijawahi kumlinganisha na mwanamke yeyote yule .Kwa kuwa alikuwa ni mwanamke wangu pili wakati  mwanamke wa kwanza alikuwa mpenzi wangu ndani ya miezi miwili tu na nilifanya nae mapenzi mara 4 tu.Tamaa haikunisumbua sana kwani malezi ya nyumbani  yalinisaidia kukwepa mtego ambao vijana wenzangu hawakuuona na mara yangu hiyo ya kwanza na dada huyo nilikuwa na umri wa miaka 25.Nakumbuka kumwambia dada mmoja wakizungu kuwa nilianza kumjua mwanamke nikiwa na umri huo na alicheka sana na kuniambia nilikuwa nimechelewa sana(that is too late).Binafsi sikuona hivyo kwani ilinisaidia kujitawala na kuepuka majanga mengi.

Baada ya kufiwa na mke wangu mwaka 1999 Oktoba nilikaa miaka 5 bila ya kukutana kimapenzi na mwanamke yeyote lakini nilipoanza kuonja mwaka 2004 nilijikuta tamaa mbaya imeota mizizi mikubwa.Dada nilie enda naye mara ya kwanza baada ya kifo cha mke wangu alikuwa mtamu sana na nilipogundua kuwa alikuwa ni mke wa mtu japokuwa alikuwa akiishi na dada yake niliamua kumuacha. Nilimuacha lakini tamaa ya utamu niliokutana nao ilikuwa kubwa na nikajikuta ndani ya muda mfupi nimekuwa na wapenzi 13 yaani toka 2004 hadi 2008. Hivyo ilikuwa ni tamaa mbaya inayosababishwa na hamu ya tendo la ndoa.

Hakuna mwanaume au mwanamke ambaye angefurahi kuona mwenziwe amepoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo basi tunaona umuhimu wa tamaa ya tendo la ndoa kwa wanandoa. Wataalamu wa sayansi ya mapenzi wameshuhudia waume kwa wake ambao wamejikuta wamepoteza hamu ya tendo hilo muhimu lililoanzishwa na Mungu mwenyewe.

Jina la kitaalamu la tatizo hilo ni HSDD ikiwa kirefu cha HYPOACTIVE SEXUAL DESIRE DISORDER. Tatizo hili linawakumba asilimia kati ya 20 – 25 ya wanaume wakati kwa wanawake ni kati ya asilimia 30 -39. Tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la sio baraka na tatizo la kuwa na hamu ya tendo la ndoa sio laana. Hivyo basi upo umuhimu wa kutafuta uwiano ili kila mmoja afurahie uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Kutokana na uzoefu wangu njia nzuri ya kushinda tamaa ni kujenga msingi mzuri wa uhusiano na mwanamke au mwanaume uliemchagua au kumkubali. Tamaa ya kutamani kuzini haitafutika maishani mwako au maishani mwa mkeo au mumeo na hivyo basi lazima ujenge mikakati ya kushinda tamaa mbaya.
 
Katika ukurasa huu nimeweka picha mbalimbali za wanawake walio uchi na ukiziangalia utatamani tendo la ndoa au usitamani lakini lengo langu ni kukusaidia uone kuwa haijalishi  mwanamke au mwanaume ana uzuri gani ukimtamani akakukubali na ukazini nae raha ya tendo hilo haitadumu na kwa kuwa haitadumu itafikia mahali utatamani tena mtu mwingine na mwingine hadi unajaza basi la watu 70.Ukiangalia nyuma wewe mwenyew eutajishangaa kwanini unaendelea kufuatilia wapenzi wapya mara kwa mara.Ni muhimu kwako uanze kuangalia muda na fedha unazopoteza kutokana na kufuatilia tamaa mbaya.

 Naamini kuwa watu wengi wanasoma habari  hii watakuwa wameshakuwa na wapenzi zaidi ya wawili hivyo naomba ufikirie iwapo kuna faida yoyote ya kuwa na wapenzi 20 na kama huoni kuwepo kwa faida basi anza leo kupiga vita tamaa mbaya kwa kujifunza mbinu za kudumisha utamu wa penzi lako na mpenzi mmoja uliemchagua.  Nimeandaa majarida mbalimbali na DVD za kukusaidia kuimarisha uhusiano wako na naamini kuwa utafaidika kama wengine waliofaidika na huduma yangu yenye umri wa miaka 9 sasa

NGUVU YA MAPENZI

Kumekuwepo na maendeleo makubwa sana katika ulimwengu wa technologia na sayansi kwa ujumla lakini inahuzunisha kuona kuwa uwezo wa kupendana kati ya mwanaume na mwanamke umepungua sana. Kila mtu anatamani sana apendwe na afurahie mapenzi lakini kwa wengi jambo hilo sio rahisi kulipata. Swala ambalo tunapaswa kujiuliza ni hili, je hivi haiwezekani kabisa kupata mtu ambae atanipenda kikamilifu na mimi nikampenda kikamilifu?’ Tulia kidogo halafu ufikilie marefu na mapana ya swali hilo kabla hujaendelea.
             Hivi karibuni nimekuwa mpenzi wa kuangalia TV katika chaneli ya INVESTIGATION DISCOVERY na katika kuangalia nimesikitishwa na kushangazwa kuona jinsi mtu anavyobadilika hadi kufikia hatua ya kumuua rafiki au ndugu yake. Kwa kweli imenitisha na kuona kuwa upo  umuhimu mkubwa sana wa kupima mtu ambae unataka kumuoa au kuolewa naye kwani ukishindwa kuiona mbegu ya ukatili au kiburi iliomo ndani yake basi unaingia kwenye uhusiano ambao utakuletea majanga makubwa hapo baadae. Hivi karibuni nimekutana na dada mmoja mzuri( umri wake miaka 33), ambae ndoa yake imevunjika na dada huyo anasema kuwa hajawahi kumsaliti mume wake muda wote alipokuwa anaishi  nae. Niliona kuwa hiyo ni hali nzuri sana naya kutamanika lakini baada ya kuniambia kuwa toka aachane na mumewe ameshatembea na waume za watu niliona kuwa tayari dada huyo ana mbegu mbaya moyoni mwake. Nilipofuatilia zaidi  nikaona kuwa ana mapungufu makubwa katika mbinu za kuonyesha mapenzi na heshima na huenda hayo kwa sehemu kubwa yalichangia kumuudhi mumewe na hivyo mumewe akashindwa kuendelea  kuangalia uzuri wa sura ya mkewe na akawa anaona tu ubaya wa mkewe katika maeneo aliopungukiwa. Kila mmoja wetu ana mapungufu yake na moja ya siri ya kuwa na uhusiano uliojaa furaha ni jinsi gani mtu atajitoa kufanya jitihada za makusudi kushinda madhaifu aliyonayo, kwa lugha nyingine ni jinsi gani mtu atawekeza nguvu zake katika kuboresha penzi lake kila siku.
Msingi wa uhusiano imara ni kuwepo kwa kudadilisha penzi, yaani upokeapo penzi na wewe ujitahidi kuonyesha penzi. Hakuna mtu ambae atafurahia kuona yeye siku zote ndie anayejitahidi kuonyesha penzi kamilifu na mwenzie anamtegea na  hiyo ndio sumu kali  kwa afya ya uhusiano wenu.

 


MADHARA YA PUNYETO

Kwa wanaume kumwaga mbegu za uzazi huleta raha ya ajabu sana na kutokana na hilo wanaume wengi hufanya mchezo wa kujichua uitwao punyeto .Katika ofisi yangu nimekutana na watu wengi vijana kwa wazee ambao wamejikuta wanaanza kuathirika kutokana na mchezo huu mchafu. Nimeshangaa kusikia toka kwa wateja ambao bila kujua hatari zilizopo walikubali ushauri toka kwa walimu, madaktari, na hata kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa kujichua huko hakuna madhara yoyote.

Wanasayansi wakitumia vyombo vya kisasa vilivyogundulika hivi karibuni wameweza kuthibitisha athari mbalimbali zitokanazo na mchezo huo mbaya. Mashine ya MRI inayoweza kuangalia mabadiliko katika damu na mwili mzima kwa ujumla vimeonyesha wazi madhara hayo. Mtu anayefanya punyeto anasababisha kichocheo cha PROLACTINE kuongezeka mwilini.Kichocheo hicho husababisha misuli ihusikayo na utendaji kazi wa uume kushuka kiwango.

Punyeto huleta matatizo ya nguvu za kiume kuwahi kumaliza, kutofurahia tendo la ndoa na mwanamke, kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, maumivu ya kiuno au mgongo, kupungua kwa uwezo wa kukumbuka mambo,kupungua kwa uwezo wa kuona sawasawa na maumivu ya korodani.

Hayo yote hujitokeza kwa kuwa mtu afanyae mchezo huo hupoteza madini na virutubisho mbalimbali vilivyomo mwilini kama vile Zinc, Selenium, B – Complex accetycholine, na Thyroxine (T4).Mizizi ya uume inapopungukiwa na virutubisho hivyo mwanaume anajikuta kuwa uwezo wake unakuwa tofauti na pale mwanzoni.NI VYEMA sana ufahamu hilo na uwasaidie wengine wasidanganyike.


UNALINGANISHWA KIMAPENZI

Tumeumbwa wanadamu na tutaendelea kuwa wanadamu bila kujali rangi au dini. Ni muhimu kukubali kuwa kudumisha utamu wa penzi kama milivyoanza sio kazi rahisi kutokana na tofauti mbalimbali zilizopo kati yako na mpenzi wako. Kutokana na watu mbalimbali tunao kutana nao katika harakati za kimaisha tunajikuta tunaona tofauti zilizopo kati ya mpenzi tulie nae sasa na watu wengine ambao ni wa jinsia tofauti na yetu.

Hali hii hujitokeza kama sehemu muhimu ya wanadamu na huacha kumbukumbu moyoni mwetu. Furaha ya mwanzoni ya uhusiano wa kimapenzi taratibu huanza kupunguzwa na kasoro na madhaifu tunayoyaona yanajitokeza kwa kadri uhusiano wetu unavyoendelea siku baada ya siku. Kasoro hizo au madhaifu hayo yanatufanya tuanze kumwangalia mpenzi tulie nae sasa kwa macho tofauti. Mtazamo mpya unaojitokeza bila kupanga utafanya tuanze kumlinganisha mpenzi tulie nae sasa na wapenzi wengine waliotangulia kabla yake na kwa kuwa hakuna mwanadamu alie mkamiifu tofauti hiyo itaanza kuleta huzuni mioyoni mwetu.Kutambua hilo ni muhimu kwako na inapaswa iwe changamoto ya kila siku.

Huzuni hiyo inaweza kugeuka kuwa hasira iwapo utaona mwenzio hafanyi bidii kukufanya ufurahie zaidi uhusiano wenu. Mara nyingi hili linatokea pale ambapo mtu anashindwa kukubali udhaifu alionao au pale ambapo mtu anashindwa kumwambia mpenzi wake juu ya mapungufu anayoyaona. Kwa sababu moja au nyingine kushindwa kufanya mabadiliko na kuleta mambo mazuri mapya inasababisha mtu ashindwe kutengeneza kumbukumbu mpya na hivyo kumbukumbu za mpenzi wa zamani kutawala moyoni.

Ningependa kukueleza wazi kuwa kwenye tendo la ndoa kuna ulinganishaji mwingi kuliko katika maeneo mengine. Tafiti zinaonyesha kuwa watu hukumbuka vitu walivyokuwa wanafanyiwa au kufanya na matokeo mazuri au mabaya, watu huangalia vitu wanavyopendelea na vitu ambavyo mtu amezoea. Hata jinsi unavyomgusa mpenzi wako vinalinganishwa kila mara.
Hebu fikiria, uko katika tendo la ndoa na mpenzi wako na mke wako anakuwa anakuchezea hapa na pale, kwa mikono, kwa sauti na ulimi wake na mara ukaanza kufikiria “lakini mke wangu nae anajitahidi lakini sio kama Sarah mpenzi wangu wa zamani”. Je hali hii imeshawahi kukutokea na ukajikuta? Na paale wewe uonapo mpenzi wako kama anakuwa mbali kimawazo kuwa huenda anakulinganisha na mpenzi mwingine?.



Mara nyingi hali hizi hujitokeza pale ambapo aidha mpenzi wako anapata shida kukuridhisha au kuna hali fulani ambayo  sio nzuri katika uhusiano wenu. Ukiwauliza watu wengi hawawezi kukubali kuwa hufanya hivyo lakini tafiti zinaonyesha kuwa ulinganishaji upo na mwingi sana kati ya wapenzi. Utalinganishwa utendaji wako, hali yako na pia jinsi unavyopokea penzi la mpenzi wako.Utalinganishwa upana na urefu wako, uchangamfu wako, harufu yako na hata usafi wako kwa ujumla. Tambua kuwa haiwezekani mpenzi ulie nae sasa atakuwa amefuta kumbukumbu zake zote za wapenzi waliokutangulia.

Njia nzuri ya kuzuia hali hiyo isijitokeze wakati wa tendo la ndoa ni kujitahidi kujishughulisha kiasi kwamba mpenzi wako ataendelea kufurahia raha anayopata wakati huo. Tambua ya kuwa kila mmoja wetu kuna vitu ambavyo humfurahisha zaidi ya vingine kama ilivyo katika chakula ndivyo ilivyo katika tendo la ndoa na maeneo  mengine pia.

Katika tafiti niliyofanya nilikutana na dada mmoja ambae alikiri wazi kabisa kuwa analinganisha wanaume kwani anahitaji kilicho bora kabisa. Dada huyo aliongezea kwa kusema kuwa pamoja na ukweli huo hata yeye mwenyewe anajionea wasiwasi kuwa na yeye mwenyewe pia atakuwa anawekwa kwenye mizani na kupimwa.Wasiwasi wake unakuja anapojiuliza maswali yafuatayo, je mimi najua kumbusu mwanaume sawa sawa , je najua kwa usahihi jinsi ya kuchezea uume wake? Je najua maeneo yote muhimu ambayo mwanaume angependa ashikwe au alambwe? Kuna mitindo au mikao ambayo siipendelei kutokana na unene wangu sijui kama hilo linawaboa wanaume?.Tafiti hizo zinaonyesha kuwa mara nyingi mwanamke anapopenda mwanaume mwingine nje ya ndoa au uchumba humpenda zaidi mwanaume wa nje. KWANINI INAKUWA HIVYO?Ni kwa sababu ya ulinganishaji.Na sio hilo tu pia utafiti huo umegundua kuwa mwanamke ndie anakuwa wa kwanza kuanza kuwashwa miguu yake na kuanza kutamani kutoka nje ya uhusiano wake wa kimsingi kuliko mwanaume. Katika tafiti hiyo 76% ya wanawake walisema kuwa bado wanawapenda waume zao ambao wanawasaliti na kwa wanaume waliosema hivyo ni 68%.

Ningependa kukuthibitishia kama wewe ni mwanamke unaesoma habari hii basi ujue kuanzia leo kuwa ni hatari sana kwako kuzungumzia sifa za kimapenzi ya mpenzi wako yoyote wa zamani. Unaweza kuona kuwa hakuumia lakini taratibu kama sumu itaanza kuua penzi lake kwako.

Kwanini hali ni hiyo? Kwa kuwa kila mwanaume angependa sana awe wa kwanza kumwingilia mwanamke na sio hilo tu bali pia wanaume wanapenda kuamini kuwa wao ni watamu zaidi ya wengine na hivyo kumuonyesha vinginevyo ni kutafuta majanga. Iwapo mwanaume atasikia kuwa yeye sio bora kuliko mpenzi aliyemtangulia kuanzia siku hiyo ataanza kufikiria kuwa huenda unaendeleza uhusiano wa zamani kwa siri na imani hii japo inaweza kuwa potofu itaendelea kumtesa moyoni na kuathiri uhusiano wenu wote.