Wednesday, December 31, 2014

MASWALI YA KIMAPENZI
SWALI LA KWANZA.

Ningependa kujibu maswali mawili toka kwa wasomaji wa blog hii ambayo naamini majibu yake yatawanufaisha  wengi.NAOMBA usome kwa makini.
 Kutoka goroiftank@live.com Ni vyakula gn ambavyo mwanaume atakiwa kula pale anapotumia dawa yako ys kuongeza nguvu za kiume?au haina mipaka kwenye upande wa lishe kwa mwanamme?kwani naamini dawa bila lishe bora ni kazi bure kwani chakula na maji ni vitu pia vya kuzingatia katika mwili wa binadamu.sa nilitaka kujua je suara la chakula umelipa nafasi gani katika tiba zako.by musa julius toka arusha.(mozzegzzle@yahoo.com)



SWALI hilo limegusa eneo muhimu sana kwani ni kweli kabisha upo uhusiano wa lishe na kuwepo kwa nguvu za kiume.Wanasayansi wameliona hilo,kwa mfano,tikiti maji limegunduliwa hivi karibuni kuwa linamchango mkubwa katika kuleta nguvu za kiume na kama unafahamu KIINGEREZA tafuta google kwa kuandika WATERMELON  HELP ERECTION na utajionea mwenyewe ukweli wa umuhimu wa vyakula..

KWA watu ambao wameagizia toka kwangu dawa ya PRIKA inayoweza kumfanya mwanaume awe na nguvu za kiume na pia asiwe anawahi kumaliza katika kijarida cha maelekezo ya dawa hiyo muhimu nimeweka orodha kubwa ya vyakula  vinavyoheshimika kuwa na uwezo wa kuleta nguvu za kiume kwa  maisha yako yote na mimi mwenyewe japo nina umri wa miaka 52 nimeshuhudia hilo na ninapofanya sex siendi chini ya round 3(sawa na idadi ya kondom katika pakti moja).IWAPO WEWE UNAISHIA ROUNDI moja unapaswa ushtakiwe na watengeneza kondom na kifungo cha gerezani kina kufaa kwa maana unawasumbua wanawake NA UNAWACHAFUA TU.

  KWA mfano watu wengi hawajui kuwa bamia ni chemchem ya nguvu za kiume na kuona ni chakula cha kienyeji sana kumbe ni ujinga mtupu.AGIZIA DAWA YA PRIKA UNUFAIKE NA DOZI YA ASILI.Dawa ya PRIKA ni ya asili kabisa iko katika mtindo wa unga,ni ya kulamba kwani inafanya kazi vizuri sana inapokutana na mate.UNAWEZA kunywa maji baada ya kuitumia lakini ni muhimu uanze na kwa kulamba.


SWALI LA PILI.(SWALI HILI NILIPIGIWA SIMU)

DOCTOR.Kutokana na tatizo la nguvu za kliume nililazimika kutumia daya za VEGAS zinazouzwa katika maduka ya madawa.DAWA hiyo ilinisaidia na kuokoa  ndoa yangu lakini mar azote ninapoitumia lazima kichwa kiniume saaana na sasa baada ya miaka ya kutumia dawa hiyo mke wangu alipatya ajali na sikuweza kufanya nae sex kwa miez 8 kwani alikwenda kwao kuuguzwa.Kipindi hayupo mpenzi wangu alikuwa pombe na aliporudi japo nilitumia dawa ile ya vegas haikufanya kazi kabisa jambo ambalo limeleta mgogoro kati yetu.NIMEKUSIKIA redioni ukisema dawa hizo zina madhara sasa kwa mimi ambae nimeathirika hivyo utanisaidiaje?


JIBU:

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME linawakosesha raha wanaume wengi sana na kutokana na kazi yangu  huu ukiwa ni mwaka wa kumi toka nianze kazi hii  nimeshuhudia kuona vijana wengi na wazee wengi waliochoshwa na aibu ya kutokuwa mwanaume kamili.Kutokana na hilo nikiona mwanaume analingia uwezo wake mkubwa  wa kifedha huwa nakuwa na wasiwasi kuwa hana nguvu za kiume za kutosha kwani katika saikolojia imethibitishwa kuwa  watu wa aina hiyo huficha matataizo mengine kwa kujionyesha kuwa wana pesa nyingi na kununua magari ya kifahari.KWELI huwa nacheka sana,na mara nyingine nikimwona mrembo anajilingisha lingisha huwa namwonea huruma kwani najua asilimia kubwa hawafikisshwi kileleni na tafiti zaonyesha kuwa asilimia 72 ya wanawake hudanganya wanaume kuwa wamefika kileleni kumbe uongo mtupu.

Ni kweli kabisa kuwa madawa ya nguvu za kiume yauzwayo katika maduka ya madawa yana madhara kwani hulazimisha ubongo utoe amri moyo upeleke damu kwenye uume(ni sawa kutaka kuendesha gari wakati umefunga breki lazima gari liumie Na mafuta kwisha bure)Maumivu ya kichwa uliokuwa unapata baada ya kutumia dawa hizo ni matokeo ya kwenda kinyume na mfumo wa uzazi.

Unywaji wa pombe mara kwa mara na hasa kiasi kikubwa katika siku ni hatari kwa afya yako.Ukiondoa afya  yako kwa ujumla utapata shida kuwa na nguvu za kukamua utamu wa kutosha wakati wa sex.Pombe inavunja daraja kati ya ubongo na mwili wako na ndio maana walevi huyumbayumba wakaitembea kwa miguu.Pombe INAWEZA KUKULETEA HAMU YA TENDO LA NDOA lakini ukashindwa kusimamisha vizuri(Wapo wachache ambao wakinywa ndo kweli wanapata nguvu lakini huko mbele hali lazima itabadilika na kuwa mbaya)

Ili usimamishe uume ubongo huamuru moyo wako usukume damu kuelekea katuika mishipa iendayo kwenye uume wako na hivyo uume kusimama tayari kwa sex.Katika hali ya kawaida baada ya uume kujaa damu mishipa hujifunga kwa nyuma kuzuia damu isirudi ilikotoka na hivyo uume kusimama kwa muda mrefu.Unapokunywa pombe kiasi kikubwa(inategemea na afya ya moyo wako)mishipa hiyo inashindwa kujifunga na hivyo damu kurudi ilikotoka kwa urahisi na uume kusinyaa na kukosa nguvu kabisa.Matumizi ya pombe kwa muda mrefu huharibu mishipa hiyo na hilo ndio tatizo ulilopata baada ya kukaa bila sex miezi 8 na pombe ikawa ndio mpenzi wako wakati mkeo anauguzwa na wazazi wake.

ILI kurekebisha hali hiyo utahitaji kutumia PRIKA na vyakula ambavyo utaelekezwa katika jarida lililoambatana na dawa hiyo.NA utakapoanza kupata nafuu jitahidi usiwe na haraka ya kumwingilia mwanamke mara uonapo uume wako umesimama.AGIZIA jarida la maeneo 12 ya kuchezea katika mwili wa mwanamke ili upate ufundi sahihi wa kumchezea mwanamke na kurahisiha afike kileleni pale utakapomwingilia.Kujichelewesha kumwingilia mwanamke wakati uume wako umesimama kunaupa uume wako zoezi la kusimama kwa muda mrefu na pia itakusaidia usiwahi kumaliza.