ACHA UZEMBE SEX INALIPA
SEX NI DAWA YA KWELI
Tendo la ndoa
husababisha kutibuka kwa kichocheo kiitwacho OXYTOCIN na
kukifanya kiaanze kuzurura kwenye mfumo wa damu. Katika pitapita zake
OXYTOCIN huondoa maumivu yaliyomo katika moyo na nafsi yako na
hivyo kuboresha afya yako. Ugunduzi huo ulioripotiwa katika jarida la madaktari
bingwa liitwalo THE BULLETIN OF EXPERIMENTIAL BIOLOGY AND MEDICINE.
Madaktari hao wanasisitiza kuwa tendo la ndoa likifanyika kwa makamuzi
yasiopungua nusu saa hufanya misuli ya mwili kuwa na nguvu na kusaidia katika
kupunguza uzito kwa kuunguza mafuta yaliyojijenga mwilini.
Unapata ushahidi huo
wewe mwenyewe ukikumbuka kuwa kasi ya upumuaji huongoezeka wakati wa Sex.
Kwa watu wenye ugonjwa wa pumuSex ni dawa tamu kwao kwani
husababisha uzalishaji wa dawa ya kuondoa makali ya ugonjwa wa pumu kwa
kuzalisha mwilini dawa iitwayoANTIHISTAMINE. Sio hilo tu bali kula
denda (kunyonyana ulimi) inapunguza kiwango cha tindikali
mdomoni na kuongezea afya na usalama wa meno yako.
Wataalam hao wanasema
iwapo utafanya tendo la ndoa polepole bila ya haraka yoyote na ukachukua muda
usiopungua dakika 30 basi ngozi yako inakuwa nyororo na yenye afya nzuri sana
kuliko kutumia vipodozi. Kwa watu wenye umri wa kupata makunyanzi ya uso na
ngozi hii ndio dawa pekee ya kuondoa au kuzuia hali hiyo.
La kushangaza zaidi
wataalam wengine wa Chuo Kikuu cha ROYAL ASTRALISIAN COLLEGE wanasema
kuwa ukiona mpenzi wako hakuelewi na ukiona pia tendo la ndoa mnafanya mara
chache na kwa mdua mfupi njia ya kubadilisha akili yake ili apate uwezo wa
kufikiria vizuri na kukuelewa ni SEX. Sex au kwa jina linguine URODA hutibua
kichocheo kingine kiitwacho DEHYDROEPIAN DROSTERONEambacho
kikichanganyikana na kichocheo kilichotajwa hapo juu cha OXYTOCIN hufanya
ubongo kuwa mwepesi kuelewa mambo na kumfanya mpenzi wako awe na huruma zaidi
na atweza kutafuta njia za kufanya mabadiliko ili usiendelee kuumia.
Na kwa wanaume nao
tambueni kuwa mko katika hatari ya kupata saratani ya Prostate (PROSTATE
CANCER) na dawa pekee ni URODAmwingi. Mabingwa wa Sayansi
ya mwili wako wa NATIONAL CANCER INSTITUTE wa huko Marekani
wanapendekeza wanaume wafanye tendo la ndoa mara 5 kwa wiki la sivyo watajikuta
wanachomekewa mipira yenye chupa kwenye tundu la uume ili wasifanye sex tena.
Utafiti mwingine wa
kweli na wa kushangaza unathibitisha kwamba kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo
na kufanya mapenzi bila ya kinga unakuletea faida za kiakili na kiafya pia.
Viongozi wa utafiti huo Dr. Gordon Callup na Rebecca Burch wa Chuo Kikuu cha
Newyork Marekani na Dr. Steven Platek wa Chuo Kikuu cha Liverpool huko
Uingereza wanasema virutubisho vilivyomo katika Mbegu za kiume vina dawa za
kubadilisha akili ya mtu (Mid-alterving drug) virutubiho hivyo viitwavyo
ESTRONE, CORTISOL, PROLACTION, THYROTROPIN na SEROTONIN vimethibitishwa kuwa na
uwezo w kubadilisha uwezo w kuelewa na kufanya maamuzi mbalimbali. Sisemi
kuwa kutumia kinga ni kubaya bali Mwenyezi Mungu alietuumba alijua thamani ya
tendo la ndoa na humo akaweka vitu vitakavyotusaidia. Kinga zimewekwa kwa
ujanja wa wanadamu na mara nyingi ujanja wa wanadamu katik mwili wa
mwanadamu una madhara yake kama uonavyo kwa madawa ya kuzuia mimba unaoufahamu
kama uzazi wa mpango..
Tafiti hiyo haikuishia
hapo bali pia ilionekana pia kwa wanawake wanaojiuza n kufanya ukahaba na wale
wazinzi wanaochepuka toka ndoa zao watumiapo kondom wanakuwa hawana tofauti
kabisa na wale ambao hawafanyi tendo la ndoa kabisa. Yaani hawafaidiki sawa
sawa na wale wanaofanya sex bila kutumia kinga.
Wasiliana nami kwa ushauri na msaada zaidi namba 0754039994.
Wasiliana nami kwa ushauri na msaada zaidi namba 0754039994.
No comments:
Post a Comment