SWALI
LA PILI.(SWALI HILI NILIPIGIWA SIMU)
DOCTOR.Kutokana
na tatizo la nguvu za kliume nililazimika kutumia daya za VEGAS zinazouzwa
katika maduka ya madawa.DAWA hiyo ilinisaidia na kuokoa ndoa yangu lakini
mar azote ninapoitumia lazima kichwa kiniume saaana na sasa baada ya miaka ya
kutumia dawa hiyo mke wangu alipatya ajali na sikuweza kufanya nae sex kwa miez
8 kwani alikwenda kwao kuuguzwa.Kipindi hayupo mpenzi wangu alikuwa pombe na
aliporudi japo nilitumia dawa ile ya vegas haikufanya kazi kabisa jambo ambalo
limeleta mgogoro kati yetu.NIMEKUSIKIA redioni ukisema dawa hizo zina madhara
sasa kwa mimi ambae nimeathirika hivyo utanisaidiaje?
JIBU:
TATIZO
LA NGUVU ZA KIUME linawakosesha raha wanaume wengi sana na kutokana na kazi
yangu huu ukiwa ni mwaka wa kumi toka nianze kazi hii nimeshuhudia
kuona vijana wengi na wazee wengi waliochoshwa na aibu ya kutokuwa mwanaume
kamili.Kutokana na hilo nikiona mwanaume analingia uwezo wake mkubwa wa
kifedha huwa nakuwa na wasiwasi kuwa hana nguvu za kiume za kutosha kwani
katika saikolojia imethibitishwa kuwa watu wa aina hiyo huficha matataizo
mengine kwa kujionyesha kuwa wana pesa nyingi na kununua magari ya kifahari.KWELI
huwa nacheka sana,na mara nyingine nikimwona mrembo anajilingisha lingisha huwa
namwonea huruma kwani najua asilimia kubwa hawafikisshwi kileleni na tafiti
zaonyesha kuwa asilimia 72 ya wanawake hudanganya wanaume kuwa wamefika
kileleni kumbe uongo mtupu.
Ni
kweli kabisa kuwa madawa ya nguvu za kiume yauzwayo katika maduka ya madawa
yana madhara kwani hulazimisha ubongo utoe amri moyo upeleke damu kwenye
uume(ni sawa kutaka kuendesha gari wakati umefunga breki lazima gari liumie Na
mafuta kwisha bure)Maumivu ya kichwa uliokuwa unapata baada ya kutumia dawa
hizo ni matokeo ya kwenda kinyume na mfumo wa uzazi.
Unywaji
wa pombe mara kwa mara na hasa kiasi kikubwa katika siku ni hatari kwa afya
yako.Ukiondoa afya yako kwa ujumla utapata shida kuwa na nguvu za kukamua
utamu wa kutosha wakati wa sex.Pombe inavunja daraja kati ya ubongo na mwili
wako na ndio maana walevi huyumbayumba wakaitembea kwa miguu.Pombe INAWEZA
KUKULETEA HAMU YA TENDO LA NDOA lakini ukashindwa kusimamisha vizuri(Wapo
wachache ambao wakinywa ndo kweli wanapata nguvu lakini huko mbele hali lazima
itabadilika na kuwa mbaya)
Ili
usimamishe uume ubongo huamuru moyo wako usukume damu kuelekea katuika mishipa
iendayo kwenye uume wako na hivyo uume kusimama tayari kwa sex.Katika hali ya
kawaida baada ya uume kujaa damu mishipa hujifunga kwa nyuma kuzuia damu
isirudi ilikotoka na hivyo uume kusimama kwa muda mrefu.Unapokunywa pombe kiasi
kikubwa(inategemea na afya ya moyo wako)mishipa
hiyo inashindwa kujifunga na hivyo damu kurudi ilikotoka kwa urahisi na uume
kusinyaa na kukosa nguvu kabisa.Matumizi ya pombe kwa muda mrefu huharibu
mishipa hiyo na hilo ndio tatizo ulilopata baada ya kukaa bila sex miezi 8 na
pombe ikawa ndio mpenzi wako wakati mkeo anauguzwa na wazazi wake.
ILI
kurekebisha hali hiyo utahitaji kutumia PRIKA na vyakula ambavyo utaelekezwa
katika jarida lililoambatana na dawa hiyo.NA utakapoanza kupata nafuu jitahidi
usiwe na haraka ya kumwingilia mwanamke mara uonapo uume wako umesimama.AGIZIA
jarida la maeneo 12 ya kuchezea katika mwili wa mwanamke ili upate ufundi
sahihi wa kumchezea mwanamke na kurahisiha afike kileleni pale
utakapomwingilia.Kujichelewesha kumwingilia mwanamke wakati uume wako umesimama
kunaupa uume wako zoezi la kusimama kwa muda mrefu na pia itakusaidia usiwahi
kumaliza.
Ninashauri dawa hiyo iwekwe kwa viwango vya urefu tofauti kuliko dawa lita moja ambayo hutaiweza kuipaka kwa wiki tatu. Tafadhali fikiria hilo.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete