Yafuatayo
ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa
uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani,
Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo
matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au
la.
(1)
Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume
mkubwa basi wewe ni wa ajabu.
(2)
Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi
ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.
(3)
Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye
urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12)
na nchi 51/2 (CM 131/2).
...endelea ukurasa wa HABARI MPYA..Bofya hapa...UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME
Pia USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII wiki lijalo kutakuwa na mambo mengi mapya.
Pia USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII wiki lijalo kutakuwa na mambo mengi mapya.
No comments:
Post a Comment